Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Wakati mi5 tena wanapindua meza,mizimu yake ilikuwa imekufwa?
Aisee match kati ya shetani mara zote mshindi Ibilisi....
Nilitegemea Nsyuka atokee pale aingie japo mtaani kuandamana.
All in all sisi TZ bado kifinyo hakijaingia sawasawa na upinzani umekosa dira na msimamo kwa sababu ya umaskini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa na shibe ni kikwazo cha ustawi wa upinzani
Graduate anawapigia kelele wezi wezi wanachoshwa na kelele wanamtupia kipande cha mnofu nae anaunga juhudi anaanza kuwapigia kelele wakimbiza wezi.