Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Tun
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama Ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Haujui tunaongozwa na malaika mkuu , hakosei , kila kitu Yuko sahihi hata mabeberu wenye dunia Yao wanamwogopa , kwanza sisi ni Dona kantri tunawazidi kila kitu au vipi mataga wa Lumumba ? Au vipi Pascal Njaa ? Johnthebabtist , Kawe Alumni , Etwege , Mama D , tunaongozwa na jiniasi and vice versa is true .
 
Nyumba zake na mali zake zingine zote alizoziacha Tanzania tutazipiga mnada kurudisha madeni yetu.
Kazipigeni mnada hata mchana wa leo. Huko alikoenda atapata hela ya kupata mali nyingine, na siku akirudi baada ya shetani kutoka kwenye kiti atarejesha vyote.
 
Sitamani maisha yake bali natamani maisha bora. Mimi hapa nilipo nina maisha ya kuridhisha, hivyo sina dhiki ya hivyo.
Unatamani. Rudia comments zako umesema kabisa unamuonea wivu maana anapata kila kitu bure.
 
Kazipigeni mnada hata mchana wa leo. Huko alikoenda atapata hela ya kupata mali nyingine, na siku akirudi baada ya shetani kutoka kwenye kiti atarejesha vyote.
Hawezi kurudi kwani pia kakimbia kesi kibao za jinai.
 
Hivi ule unyama mliokuwa mnatenda kwa miaka yote mitano na mauaji, utekaji na utesaji wa raia kwenye uchaguzi, huku ikiagizwa Lema auliwe ama apewe kesi isiyo na dhamana mnadhani dunia ilikuwa haioni?
Hawa jamaa wako tayari kuua kila anayewapinga ili wabaki madarakani. Ona jinsi wanavyokanyaga katiba kwa kicheko na dhihaka. Hatuna la kuwafanya bali ni kuwanyanyapaa (to stigmatize them).
 
Unatamani. Rudia comments zako umesema kabisa unamuonea wivu maana anapata kila kitu bure.
Namuonea wivu yeye kupata hiyo nafasi ya ukimbizi wa kisiasa kirahisi hivyo. Sio maisha yake. Anapata kila kitu bure kwani yeye ni mlemavu? Usitake kunilisha maneno ya kienyeji. Lema hajashindwa kupambana maana sio duwanzi, hapa kakimbia kulinda uhai wake.
 
Kiongozi ukiwatendea mabaya watu wako uwakomoi bali unaikomoa uzao wako karma haitowaacha salama case study wale wote waliowatendea mabaya watz ikiwemo kuwapora watu Mali zao walizochuma kihalali kwa kuwalazimisha wawe wajamaa kibabe check familia zao hazieleweki today.
 
Do you mean the president is( premier president) and has a divine right.
Uncontrolled president... Aaah
Okay can you give the premises under why the president elect should not be challenged?
I mentioned CHADEMA following what you have expressed. Lastly, let Lema be free bcoz it is unlawful decision
Mkuu,

The president is not above the law that is why constitution lays the procedures on how to impeach him in the National Assembly (Read Article 46A of the constitution of the United Republic of Tanzania)

Nobody has given you limited premises to challenge the president elect; you can do it to put the record clear as benchmark for other grievances of the same nature.

Kwa mjibu wa katiba ambayo ni sheria mama article 46 (3) Rais aliyestaafu ana kinga kushitakiwa mahakamani; hata hivyo kinga hiyo ina mipaka iliyoainishwa kisheria.

Mh Rais anaweza kushitakiwa mahakamani kupitia mkurugenzi wa mashitaka (DPP) na kesi ikasikilizwa kama kesi zingine za jinai kwa masharti yafuatayo"
1. :..Jambo …..alilofanya……kama Rais wakati alipokuwa bado anashika madaraka ya Rais kwa mujibu wa katiba…..” Hapa kinga inafanya kazi Article 46(3)
2. ".....Vitendo......alivyofanya........akiwa Rais wakati alipokuwa bado anashika madaraka ya Rais kwa mujibu wa katiba....."Kinga haihusiki hivyo anaweza kushitakiwa kwa kuzingatia ni vitendo gani vilivyo kinyume na katiba. Mfano ukiwa Rais unaendesha gari mwenyewe kisha ukagonga raia na kuua, hapo hakuna kinga maana kwa mujibu wa utaratibu huruhusiwi kujiendesha mwenyewe hivyo matokeo ya kitendo kilichosababisha kosa la kugonga na kuua unalibeba mwenyewe kama 'X' na sio Rais

Haya kazi kwako mdadisi


If you are a brilliant lawyer, skilled, well informed and confident you can step in to initiate the impeachment motion to sue the president elect, so teh ball is at your armpit to bull it
 
Yule maji mazito akamatiki kwa mizimu ya ruangwa, gamboshi Wala burigi
Wakati mi5 tena wanapindua meza,mizimu yake ilikuwa imekufwa?
Aisee match kati ya shetani mara zote mshindi Ibilisi....
Nilitegemea Nsyuka atokee pale aingie japo mtaani kuandamana.
All in all sisi TZ bado kifinyo hakijaingia sawasawa na upinzani umekosa dira na msimamo kwa sababu ya umaskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kurudi kwani pia kakimbia kesi kibao za jinai.
Atarudi sana akitaka, ngoja shetani atoke. Kesi gani za jinai, labda hizo za kubambikiwa na shetani. Na siku shetani akitoka kesi zote Magumashi zinaisha.
 
kuna muda tunatakiwa tufikirie siwezi ongelea upande wa mtu ila kwa tunavyodhani je kuna sehemu utaipenda na itakupenda kama nyumbani kweli?

Unajua it needs to reach a time supremacy not to exceed humanity you can do anything yaani na ndio tatizo kubwa duniani kwa sasa supremacy is really hight than humanity people can decide and make anything for it karatasi zinapotezea ndugu zangu

Huwezi kuwa tajiri kama hauli,haupumui na huna sehemu salama na moyo una ridhika kulala tupende nchi yetu Africa ndio sehemu pekee utakayo kuwa na amani nchi za nnje hakuna kipya mtu uta accumulate stress nothing new about it

what's the meaning of life ukishatoka huko nnje uone nchi imebaki magofu na uongozi haupo eeeh

the way we are Africans isn't our leaders faults wanakuta hiyo mifumo tunatakiwa tuelewe sio misaada inayotolewa ndio unadhani wanatupenda sanaa noo ni kwa faida yao leo atatoa msaada wa barabara ya lami kutoka geita hata hadi nyerere airport for his benefit na viongozi wana hangaika sema propaganda ni mbaya

unadhani kiongozi target yake ni kuwa na hela na kutumia madaraka vibaya juu ya Africa do you think that?

fikiria mtu ana kutengenezea tatizo alafu anaaminishwa mwingine ndio ana sababisha then anarudi kusolve tatizo kwa vita really?

the whole world there's is no peacefully democracy hata uende wapi people are there for their national interest wazungu huwa wanatanguliza taifa hawawezi leta vita ya wao kwao kirahisii never utaona Africa tuu

kwasababu ndio wamepandikiza hiyo mbegu ya kutugawanya na kututawala
je unadhani mtu ukienda nnje utatumika kama nani kama si mpinzani kwa Africa
they got goals

Among them ni 2050 60% ya africa wawe youth under 25 years do you think they still love you?
hiyo ni nini itafika wakati wataweka ikifika 2070 afrika 70%wawe under 20 yaani juu ya 20 years sio wengi wanakufa au wameshakufa

so watakuwa na control over vyanzo vya asili kwa style hii they'll still use a lot of traitors kuiangamaiza afrika

Yaani sasa hivi hawasumbuki kuja tena ni chuki inapandikizwa black na black mna malizana full stop wao wanakuja kusomba madini uranium mafuta wanaondoka

na wakimaliza kutu swipe hata 2150 huko mbele ndio watakuja kuweka makazi rasmi kwasababu watakuwa wamefanikiwa

Africa tuzuie linalokuja mzungu ana plan hata za miaka 100 mbele tuta waachia nani hili bara kwakweli he can't, he will never ever be your sponsor just for free your black Africa is home don't be traitors what history are you making wangapi wanafanya huo ujingaa mwishoni wanakuta nchi zao magofu

kuwa na ushawishi kwa jamii isimfanye mtu kuwapa watu hadi ujinga wao
sipo upande wowote hapa wa kichama ila nasimamia asili yangu

naamini kwenye ukombozi wa mtu mweusi bado maana vita ya sasa ni hatari ukizoea story huelewi kinacho endelea duniani fungueni machoo
 
Bila uwepo wa watu weupe duniani sijui waafrika wangekimbilia wapi.
Mwaka wa saba huu sasa nashuhudia wakimbizi wa congo na warundi wakipandishwa ndege daily airport kabla ya corona Makundi kwa Makundi kwenda USA and Canada kupewa hifadhi ya milele. Baada ya waafrika wenzao kushindwa kuwapa hifadhi ya kudumu.
 
Atarudi sana akitaka, ngoja shetani atoke. Kesi gani za jinai, labda hizo za kubambikiwa na shetani. Na siku shetani akitoka kesi zote Magumashi zinaisha.
Shetani aliyekuwepo atamuachia kijiti shetani mwenzie [emoji3][emoji3], ndivyo itakavyokuwa miaka nenda rudi
 
Back
Top Bottom