Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

Umebwabwaja bila lengo.
Ninacho kisoma ni hilo la "Bi - tozo" kuishiwa na muda; mengine yote ni porojo tu.
Acha kuandika ujinga kutoka kichwani kwako.

By now you should be familiar with me, I hate nonsense from people who argue from their own reasoning instead of applying the rules/logic of engagement.

Kwa wewe nenda kwanza ka-Google sala ya siku ya kwanza mpaka ya tisa za Novena.

Heck dint I remind people in JF about Novena in (yes I know it’s common prayer, but I advised Rtd Gen Mabeyo to seek forgiveness kwa kutetea uraisi wa Samia).

Sasa wewe sijui utaniambia nini.

Kila siku uwa nakwambia ukishalewa chibuku au ułabu wowote wa kie nyski njoo JF na hoja za maana sio ku-quote watu na maswali ya kijinga.
 
Wewe siku zote ni mpumbavu, utakuwa umelisahau hilo tokea lini?
Ulicho andika hapo juu wewe kina 'logic' gani?

You must be incorrigible if you do not know by now who you're dealing with.
Hopeless kabisa.
 
Atugawe mara ngapi?

Wewe huoni akina Jumanne Muliro wapo kazini tayari?

Padre kagongwa kichwani na kitu butu kwa nia ya kumuua; umesikia Samia akisema chochote, mbali ya kutoa vihela makanisani kama hongo!

Omba sana Mungu aepushe, vinginevyo hatupo mbali kusikia watu wamevamiwa kanisani na kuuliwa kama tunavyo sikia huko kwingine.

Kama hadi wakati huu bado hujui Tanzania ilivyo gawanyika; jaribu tu kutazama hata uchangiaji humu JF pekee. Ninaweza kukuhakikishia zaidi ya asili mia tisini wanao mtetea Samia Suluhu Hassan ni wa imani yake. Utetezi wao si wa kuitetea Tanzania, bali imani inayowahusu wao. Hata kama BAKWATA msimamo wake si wa kila mmoja wa watu wa imani hiyo; lakini kukazia kwao AMANI na kutotaka hiyo amani itokane na HAKI, ni wazi msukumo ni huo huo wa kiimani, na siyo maslahi ya nchi Tanzania.

Yeye mwenyewe, kama Rais, umemsikia lini akilizungumzia swala la umoja wetu kama ajenda kuu kabisa ya uongozi wake?

Miaka mitano mingine ya Samia haitaiacha Tanzania salama hata kidogo, hili lipo wazi kabisa.

Pamoja kuwa si shabiki wa Samia lakini si mpingi kwa sababu ya dini yake kama wewe.
Pinga kwa hoja sio kwa maji na mafuta ya upako.
 
Umejuwaje kuwa simpingi kwa hoja. Unataka nirudie rudie hizo hoja kila ninapo andika juu yake?
 
Novena ya Wakatoliki ni kuombea haki na amani, wale wanaowapinga ni Kwamba hamtaki Haki na amani 🤔🤔inashangaza sana
Zama za utawala wa RC na ushawishi wake ziliishia kwa Pengo
 
Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.

Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa? Kunyimwa haki na wizi wa kura? Rais anatugawa. Huku sio kuilinda Katiba yetu aliyoapa kuilinda.

Nakumbuka kule Misri tabia kama hii waliifanya Muslim Brotherhood na ililiingiza Taifa lao kwenye machafuko hadi jeshi likaamua kushika hatamu.

Vyombo na Dola kuweni macho. Watu waliofilisika hoja wanataja UDINI JK Nyerere. 29 October sio uchaguzi wa Imam
Hajatugawa hata chembe tuko imara na tuko wamoja.. Labda kajigawa mwenyewe
 
Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.
Naona hili la novena hukulisema, ila umekimbilia la maimamu tu. Huenda umelisahau, mimi nalikumbusha tu.
 
Atugawe mara ngapi?

Wewe huoni akina Jumanne Muliro wapo kazini tayari?

Padre kagongwa kichwani na kitu butu kwa nia ya kumuua; umesikia Samia akisema chochote, mbali ya kutoa vihela makanisani kama hongo!

Omba sana Mungu aepushe, vinginevyo hatupo mbali kusikia watu wamevamiwa kanisani na kuuliwa kama tunavyo sikia huko kwingine.

Kama hadi wakati huu bado hujui Tanzania ilivyo gawanyika; jaribu tu kutazama hata uchangiaji humu JF pekee. Ninaweza kukuhakikishia zaidi ya asili mia tisini wanao mtetea Samia Suluhu Hassan ni wa imani yake. Utetezi wao si wa kuitetea Tanzania, bali imani inayowahusu wao. Hata kama BAKWATA msimamo wake si wa kila mmoja wa watu wa imani hiyo; lakini kukazia kwao AMANI na kutotaka hiyo amani itokane na HAKI, ni wazi msukumo ni huo huo wa kiimani, na siyo maslahi ya nchi Tanzania.

Yeye mwenyewe, kama Rais, umemsikia lini akilizungumzia swala la umoja wetu kama ajenda kuu kabisa ya uongozi wake?

Miaka mitano mingine ya Samia haitaiacha Tanzania salama hata kidogo, hili lipo wazi kabisa.
Kwenye swala la kuungwa mkono na waislam fanya tafiti tofauttisha uislam iman na viongozi wake uislam ni dini inayozungumza haki
 
Atugawe mara ngapi?

Wewe huoni akina Jumanne Muliro wapo kazini tayari?

Padre kagongwa kichwani na kitu butu kwa nia ya kumuua; umesikia Samia akisema chochote, mbali ya kutoa vihela makanisani kama hongo!

Omba sana Mungu aepushe, vinginevyo hatupo mbali kusikia watu wamevamiwa kanisani na kuuliwa kama tunavyo sikia huko kwingine.

Kama hadi wakati huu bado hujui Tanzania ilivyo gawanyika; jaribu tu kutazama hata uchangiaji humu JF pekee. Ninaweza kukuhakikishia zaidi ya asili mia tisini wanao mtetea Samia Suluhu Hassan ni wa imani yake. Utetezi wao si wa kuitetea Tanzania, bali imani inayowahusu wao. Hata kama BAKWATA msimamo wake si wa kila mmoja wa watu wa imani hiyo; lakini kukazia kwao AMANI na kutotaka hiyo amani itokane na HAKI, ni wazi msukumo ni huo huo wa kiimani, na siyo maslahi ya nchi Tanzania.

Yeye mwenyewe, kama Rais, umemsikia lini akilizungumzia swala la umoja wetu kama ajenda kuu kabisa ya uongozi wake?

Miaka mitano mingine ya Samia haitaiacha Tanzania salama hata kidogo, hili lipo wazi kabisa.
Waislamu walimtetea sana Shujaa Magufuli pale Waluteli wa Chadema mlipomtenga

Islam ni Dini ya Amani 🐼
 
Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.

Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa? Kunyimwa haki na wizi wa kura? Rais anatugawa. Huku sio kuilinda Katiba yetu aliyoapa kuilinda.

Nakumbuka kule Misri tabia kama hii waliifanya Muslim Brotherhood na ililiingiza Taifa lao kwenye machafuko hadi jeshi likaamua kushika hatamu.

Vyombo na Dola kuweni macho. Watu waliofilisika hoja wanataja UDINI JK Nyerere. 29 October sio uchaguzi wa Imam
Kitu kilicho karibu kuliharibu hili taifa ni udini. Hakuna muda nchi imekua katika tension za kidini kuliko kipindi hiki. Tuwe makini kwa kauli na vitendo vyetu.
Ila wanasiasa ni watu wapumbav* sana. Wakishaishiwa hoja za kushawishi watu wanaanza kukimbilia kwenye dini wapate backup. Na viongozi wetu wa dini sasa 😭😭😭.
 
Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.

Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa? Kunyimwa haki na wizi wa kura? Rais anatugawa. Huku sio kuilinda Katiba yetu aliyoapa kuilinda.

Nakumbuka kule Misri tabia kama hii waliifanya Muslim Brotherhood na ililiingiza Taifa lao kwenye machafuko hadi jeshi likaamua kushika hatamu.

Vyombo na Dola kuweni macho. Watu waliofilisika hoja wanataja UDINI JK Nyerere. 29 October sio uchaguzi wa Imam

Halafu kwa mara ya kwanza kazungumzia haki. Ila wote tunajua kuwa haki haitatolewa kwa vile tu amesema. Jama angekuwa serious angeanza na reform kwa kuwaonfoa akina Mapuri INEC.
 
Watu wenye upeo mdogo wa kufikiri wanatumia udini kupinga ukweli unaozungumzwa.
Hoja ijibiwe kwa hoja.
 
Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.

Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa? Kunyimwa haki na wizi wa kura? Rais anatugawa. Huku sio kuilinda Katiba yetu aliyoapa kuilinda.

Nakumbuka kule Misri tabia kama hii waliifanya Muslim Brotherhood na ililiingiza Taifa lao kwenye machafuko hadi jeshi likaamua kushika hatamu.

Vyombo na Dola kuweni macho. Watu waliofilisika hoja wanataja UDINI JK Nyerere. 29 October sio uchaguzi wa Imam
Teuzi tu zinaelezea kitu
 
Alienda kujikabidhi huko anajua muziki wa Novena
 
Back
Top Bottom