chambo rashidi
JF-Expert Member
- May 30, 2018
- 334
- 370
Tapeli tu huyoPia ukumbuke Utabiri wa marehemu Shekhe yahya juu ya utawala huu wa sasa

Ni sawa na Magufuli pamoja na kazi kubwa aliyofanya ya kujenga nchi; Lakini kuzuia chanjo ya COVID huo ulikuwa mwisho wa mipaka ya uvumilivu wa vyombo vya usalamaNovena ina mtindo wake, kusali kama mtu mmoja kuomba mambo yako au jamii kuomba mambo yenu kwa pamoja.
Kusali pekee na jumuiya kuna utaratibu wa muongozo wa sala.
Baba yangu alikuwa mkatoliki, mama yangu muislamu (wote wamezikwa kwa imani zao). Dini zote nazijua at elementary level; sio vile.
Sasa sidhani kama katika hizi siku tisa kanisa limeongoza kwenye sala ya jumuiya, vinginevyo ni kwamba kila mtu alikuwa anaenda kwa mtindo wake tu
(Inawezekana pia hilo ndio lilikuwa lengo la kanisa).
Either way with or without Novena, Tanzania inahitaji changes.
Busara ni kuzikubali hayo maombi.
kilichobaki sasa ni ‘bo-tozo’ na genge lake; wajue wanapima patient ya vyombo vya ulinzi.
If you ask me wamevuka mipaka ya uvumilivu; you can’t blame them ni watu wasio jua kula na vipofu.
I don’t know or how long it will take, lakini ‘bi-tozo’ muda wake umeisha.
Ni sawa na Magufuli pamoja na kazi kubwa aliyofanya ya kujenga nchi; Lakini kuzuia chanjo ya COVID huo ulikuwa mwisho wa mipaka ya uvumilivu wa vyombo vya usalama.
Kwa ‘bi-tozo’ kwa hali ya nchi ilipofika hana muda mrefu; nchi aina kiongozi.
Mjumbe auwawi, watch this space.
Wacheni udini wa KIPUMBAVU.Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.
Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa? Kunyimwa haki na wizi wa kura? Rais anatugawa. Huku sio kuilinda Katiba yetu aliyoapa kuilinda.
Nakumbuka kule Misri tabia kama hii waliifanya Muslim Brotherhood na ililiingiza Taifa lao kwenye machafuko hadi jeshi likaamua kushika hatamu.
Vyombo na Dola kuweni macho. Watu waliofilisika hoja wanataja UDINI JK Nyerere. 29 October sio uchaguzi wa Imam
Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.
Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa? Kunyimwa haki na wizi wa kura? Rais anatugawa. Huku sio kuilinda Katiba yetu aliyoapa kuilinda.
Nakumbuka kule Misri tabia kama hii waliifanya Muslim Brotherhood na ililiingiza Taifa lao kwenye machafuko hadi jeshi likaamua kushika hatamu.
Vyombo na Dola kuweni macho. Watu waliofilisika hoja wanataja UDINI JK Nyerere. 29 October sio uchaguzi wa Imam
Wote wanatapatapa tu.Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.