Novena ina mtindo wake, kusali kama mtu mmoja kuomba mambo yako au jamii kuomba mambo yenu kwa pamoja.
Kusali pekee na jumuiya kuna utaratibu wa muongozo wa sala.
Baba yangu alikuwa mkatoliki, mama yangu muislamu (wote wamezikwa kwa imani zao). Dini zote nazijua at elementary level; sio vile.
Sasa sidhani kama katika hizi siku tisa kanisa limeongoza kwenye sala ya jumuiya, vinginevyo ni kwamba kila mtu alikuwa anaenda kwa mtindo wake tu
(Inawezekana pia hilo ndio lilikuwa lengo la kanisa).
Either way with or without Novena, Tanzania inahitaji changes.
Busara ni kuzikubali hayo maombi.
kilichobaki sasa ni ābo-tozoā na genge lake; wajue wanapima patient ya vyombo vya ulinzi.
If you ask me wamevuka mipaka ya uvumilivu; you canāt blame them ni watu wasio jua kula na vipofu.
I donāt know or how long it will take, lakini ābi-tozoā muda wake umeisha.
Ni sawa na Magufuli pamoja na kazi kubwa aliyofanya ya kujenga nchi; Lakini kuzuia chanjo ya COVID huo ulikuwa mwisho wa mipaka ya uvumilivu wa vyombo vya usalama.
Kwa ābi-tozoā kwa hali ya nchi ilipofika hana muda mrefu; nchi aina kiongozi.
Mjumbe auwawi, watch this space.