Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

Umebwabwaja bila lengo.
Ninacho kisoma ni hilo la "Bi - tozo" kuishiwa na muda; mengine yote ni porojo tu.
Acha kuandika ujinga kutoka kichwani kwako.

By now you should be familiar with me, I hate nonsense from people who argue from their own reasoning instead of applying the rules/logic of engagement.

Kwa wewe nenda kwanza ka-Google sala ya siku ya kwanza mpaka ya tisa za Novena.

Heck dint I remind people in JF about Novena in (yes I know it’s common prayer, but I advised Rtd Gen Mabeyo to seek forgiveness kwa kutetea uraisi wa Samia).

Sasa wewe sijui utaniambia nini.

Kila siku uwa nakwambia ukishalewa chibuku au ułabu wowote wa kie nyski njoo JF na hoja za maana sio ku-quote watu na maswali ya kijinga.
 
Wewe siku zote ni mpumbavu, utakuwa umelisahau hilo tokea lini?
Ulicho andika hapo juu wewe kina 'logic' gani?

You must be incorrigible if you do not know by now who you're dealing with.
Hopeless kabisa.
 
Novena ya Wakatoliki ni kuombea haki na amani, wale wanaowapinga ni Kwamba hamtaki Haki na amani 🤔🤔inashangaza sana
 









Pamoja kuwa si shabiki wa Samia lakini si mpingi kwa sababu ya dini yake kama wewe.
Pinga kwa hoja sio kwa maji na mafuta ya upako.
 
Pamoja kuwa si shabiki wa Samia lakini si mpingi kwa sababu ya dini yake kama wewe.
Pinga kwa hoja sio kwa maji na mafuta ya upako.
Umejuwaje kuwa simpingi kwa hoja. Unataka nirudie rudie hizo hoja kila ninapo andika juu yake?
 
Novena ya Wakatoliki ni kuombea haki na amani, wale wanaowapinga ni Kwamba hamtaki Haki na amani 🤔🤔inashangaza sana
Zama za utawala wa RC na ushawishi wake ziliishia kwa Pengo
 
Hajatugawa hata chembe tuko imara na tuko wamoja.. Labda kajigawa mwenyewe
 
Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki.
Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam.
Naona hili la novena hukulisema, ila umekimbilia la maimamu tu. Huenda umelisahau, mimi nalikumbusha tu.
 
Kwenye swala la kuungwa mkono na waislam fanya tafiti tofauttisha uislam iman na viongozi wake uislam ni dini inayozungumza haki
 
Ki strategia inaitwa Damage control. Kule novena huku maulidi
 
Waislamu walimtetea sana Shujaa Magufuli pale Waluteli wa Chadema mlipomtenga

Islam ni Dini ya Amani 🐼
 
Kitu kilicho karibu kuliharibu hili taifa ni udini. Hakuna muda nchi imekua katika tension za kidini kuliko kipindi hiki. Tuwe makini kwa kauli na vitendo vyetu.
Ila wanasiasa ni watu wapumbav* sana. Wakishaishiwa hoja za kushawishi watu wanaanza kukimbilia kwenye dini wapate backup. Na viongozi wetu wa dini sasa 😭😭😭.
 

Halafu kwa mara ya kwanza kazungumzia haki. Ila wote tunajua kuwa haki haitatolewa kwa vile tu amesema. Jama angekuwa serious angeanza na reform kwa kuwaonfoa akina Mapuri INEC.
 
Watu wenye upeo mdogo wa kufikiri wanatumia udini kupinga ukweli unaozungumzwa.
Hoja ijibiwe kwa hoja.
 
Teuzi tu zinaelezea kitu
 
Alienda kujikabidhi huko anajua muziki wa Novena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…