Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

I beg to differ. Vyote viwili ni sawa, ni Dua kwa Mungu kuitakia mema Nchi yetu. Hii Iko tangu zamani sana tunapigania Uhuru. Tatizo ni watu wachache tu wakiwamo Maaskofu na Mapadri Wanaharakati walidhani wanaionbea CHADEMA. walisahau kuwa asilimia 60% ya wanaCCM ni Wakatoliki. Wameumbuka sana hawakutegemea itakuwa hivyo ndiyo maana blogu zao zimekaa kimya. La Waislamu lilikuwa hivyo tangu zamani, wakihudhuria Nyerere na Rupia na Lawi Sijaona msikiti wa Sheikh Ramia. CHADEMA walijaribu Sala ya novena Mahakamani wakaumbuka walipoanza kuomba msaada wa Bikira Maria ealiyoweka Maaskofu waadilifu.
 
Ni sawa na Magufuli pamoja na kazi kubwa aliyofanya ya kujenga nchi; Lakini kuzuia chanjo ya COVID huo ulikuwa mwisho wa mipaka ya uvumilivu wa vyombo vya usalama
 
Wacheni udini wa KIPUMBAVU.
Mbona mnavyopewa ruzuku kuendesha taasisi zenu za kikatoliki hamsifii??
Udini udini wa kipuuzi tu.
Mkristo mwenzenu Benjamin Mkapa aliwapa sana vipaumbele na kukandamiza dini ya upande wa pili mbona hilo hamkulikemea!?
Wapuuzi wakubwa.
 


NI HAKI YAKE KUKUTANA NA WOWOTE. HAJAKOSEA KITU. ULITAKA NAYE AKAOMBE NOVENA
 
Wote wanatapatapa tu.

Huyo Mungu mwenyewe wanayemuomba hakuna anayeweza kuthibitisha yupo.

Na angekuwapo, hata wasingehitaji kumuomba chochote, angewapa wanachohitaji kabla hawajajua wanakihitaji.

The whole idea of praying to God so God gives you what you want is very narcissistic and stupid at the same time.

You want God to change things for you, because God does not know what to do and you know better than him, or what?

If you have to pray to that God, do you really believe in that God's omniscience, omnipotence and ombibenevolence?

It's just stupid human hopelessness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…