Kitendo cha mabeberu kufungasha na ongezeko la utitiri wa kodi

Akili ndogo hazitakuelewa!
 
Nilikuwa sitaki kuandika ila ngoja nikujibu....ka.a serikali haiwezi kuweka mazingira mazuri ya watu kulipa kodi rafiki hakuna haja ya hio serikali kuendelea kuwepo imeshindwa kujiendesha kungangana kuwapora raia wachache huku wengi wakiwa hawalipi hio si sawa ni bora kodi ya kichwa irudi ili kila mtu achangie hayo maujenzi ya chato stadium...na mandege yasiyo na tija..nilianza kulipa kodi enzi za mkapa leseni ilikuwa bure kodi kiwango cha chini kuanzia ni 35000...na biashara zilikuwa zinakimbia sasa hivi wamerundika makodi mpaka kwa machinga na biashara hazitoki...maisha yamezidi kuwa magumu...tra ukienda wanakuambia biashra inakuwa wameongezewa taget lazima tuifikie wao hawatungi sheria bunge ndio linatunga au funga biashara...na mfumo wa kodi tanzania ilitakiwa kodi iwe ndogo sana ili iweze kukusanywa maana unalipa kodi kabla ya kuanza biashara...weka bango fungua ofisi nenda tra...watakuambia lipia bango kwanza lipia withholding ya mwaka mzima kodi ya mwenye chumba...lipia awamu ya kwanza ya kodi..sasa biashara hata hujaanza kupata faida ulipe madubwasha yote utafika wapi....
 
Cc ni dona kantriii.
Wacha waisome namba eeeeeeeee Ccm mbele kwa mbeleeeeee.
 
Jee wanaolipa kodi wana haki ya kuuliza kodi zao zinafanywaje? Mbona tunaona pomp za waku kutembea msafara wa magari 50 halafu unakuja hapa kutuambia pumba. Weee inaonesha wazi hulipi kodi.
Huyo ni miongoni mwa watu wanaoishi kwenye makwapa ya watawala

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Makampuni mengi ya utafiti hasa GESI na madini yamesharudi kwao na watz wengi hawana kazi amini hivyo

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna aliekataa kulipa kodi, ila kodi iendane na kile kinachozalishwa, na hakuna nchi ilioendelea kwa kuwakamua raia wake,bali kwa rasilimali zake,
Leo hii mtu mmoja analundikiwa utitiri wa kodi,tozo mpaka watu wanafunga biashara kwa harasi wanazopatiwa na serikali
Hali imekuwa mbaya sana kwa sasa, unless uwe kula kulala ndio utashabikia haya mambo.
 
Kodi..kodi...kodi..kodi...!
Zimeanza kuua ng'ombe anaye toa maziwa!
 
Hujui kitu wewe mpumb.vu.
Sisi wafanyabiashara wote tunatatizwa na kodi zisizo rafiki.
Mfanyabiashara mwenye mtaji wa 600 milioni kwenye biashara moja na ambaye ana biashara 5 ni mdogo!?
Huwezi kutengeneza mabilionea bila kuwa na urafiki na wafanyabiashara wenye mitaji midogo.
Mwaka 1998 nilianza kuingiza Kariakoo mzigo wa 260 milioni. Nilikuwa nawapa wafanyabiashara wadogo wapatao 43. Mwaka 2001,wafanyabiashara wadogo 18 kati ya wale 43 wakawa wanaleta wenyewe mizigo ambayo wa kiwango cha chini ilikuwa ni 70 milioni.
Leo hii niambie ni wangapi wanaendelea kutengenezwa kuwa wafanyabiashara wakubwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikasema tatizo lipo kwa wafanya biashara wadogo na kati ambao ni watanzania.

Technically biashara ndogo na za kati ni kuanzia self employment na zile zinazoajiri mpaka watu 100, zipo in one region na mtaji wake auzidi 20 billion shillings; walau in Tanzania standards.

Kwa wenzetu biashara ndogo na za kati ni mpaka zile zinazo ajiri watu 300 na mtaji wake auzidi millioni £50M.
 
Punguzeni manunuzi ya magari ya serikali ya bei za juu sana. Ma VX lukuki yanahitaji kodi za ajabu zilipwe.
 
Hapa ndipo nabaki kushangaa akili ya mwafrica. Kwa hiyo serikali iko tayari iwape favour wafanyabiashara wakubwa wa nje au wenye mitaji mikubwa ambao hawafiki hata 1% kuliko iwasaidie makapuku walio wengi ambao yenyewe inawaita wanyonge?
 
UMEONGEA FACT MKUU.... .hatuwezi kuwa omba omba miaka yote hayo mambo ya kuomba omba yaliishia aqamu ya nne huko ebu tubadilikeni WATANZANIA ..ila kuna watu wanajua kupinga kweli kweli ....we wasubirie tuu wanakuja kukupakia matusi......
 
Mungu ni mwenye haki atayenda tu anayesema hakuna mgonjwa watanzania yunakufa kila siku ......zake zinahesabika Mungu hadhihakiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…