mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hakuna deni linauma kulipa kama deni ambalo hukusababisha wewe😣😣😣pole sana mama D ninafuta kauli au mandishi yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna deni linauma kulipa kama deni ambalo hukusababisha wewe😣😣😣pole sana mama D ninafuta kauli au mandishi yangu
1. Huu ni ukweli na tatizo liko hapa. Vyanzo vya mapato ni vilevile na wanadhani suluhisho la kupata fedha kwa ajili ya uendeshaji wa nchi/serikali ni kuongeza kodi humohumo kila mwaka na kila wakati badala ya kufukiri juu ya maeneo (vyanzo) vingine ya mapato...Hii inaashiria vyanzo vya mapato vilivyomo nchini vikilinganishwa na miradi tunayoanzisha nakusimamia vinakinzana.
Acha tu kwa sababu sasa hivi simu zimesajiliwa ni bora wawe wana mpigia mwenye leseni wambambie tunafungia leseni yako au njoo ulipe deni!Hakuna deni linauma kulipa kama deni ambalo hukusababisha wewe😣😣😣
Hawa wanao kaa maofisini walikuwa wanaona kama wafanyabiashara wote ni wezi. Ila kwa jinsi yanavyoenda tumeshanyookaUmeongea ukweri mtupu ndugu yangu na msema kweri Ni mpenzi wa Mungu,
Awamu ya Tano ilivyoanza wafanya BIASHARA tulitandikwa watumishi wakawa wanacheka, baada ya mda Rungu likawashukia, Sasa naona imerudi Kama ilivyoanza WAFANYABIASHARA tunatandikwa trip ya pili, wakimaliza wanawarudia wafanyakazi,
MAJI TUTAYAITA MAA...
CCM HOYEE,
Wewe unalipa kodi kiasi gani? Unafikiri rais anatembea na gari moja kama wewe!Jee wanaolipa kodi wana haki ya kuuliza kodi zao zinafanywaje? Mbona tunaona pomp za waku kutembea msafara wa magari 50 halafu unakuja hapa kutuambia pumba. Weee inaonesha wazi hulipi kodi.
Weka ushahidi! Majungu peleka kwenye udaku.Mkuu unaposema kodi ni nzuri unamaanisha nn?
Unalinganisha na nchi jirani zetu mfano kenya, ug, burundi au zambia?
Ni kwenye siasa tu ndo unaweza kusema kuwa red maana yake ni nyeupe na ukaeleweka.
Kwenye maisha ya kawaida huwezi mdanganya mtu kwa sababu kila mtu anaishi na uhalisia wa maisha anauona.
Baada ya kuwamaliza wapiga dili sasa madili wanapiga wao.
Mkuu huo mlundiko unaosema ni upi? Kodi zote hizo zipo kwa mujibu wa sheria, unaweza ksema hilo lundo unalolipigia chapuo?Hakuna aliekataa kulipa kodi, ila kodi iendane na kile kinachozalishwa, na hakuna nchi ilioendelea kwa kuwakamua raia wake,bali kwa rasilimali zake,
Leo hii mtu mmoja analundikiwa utitiri wa kodi,tozo mpaka watu wanafunga biashara kwa harasi wanazopatiwa na serikali
Hali imekuwa mbaya sana kwa sasa, unless uwe kula kulala ndio utashabikia haya mambo.
Mkuu huo mlundiko unaosema ni upi? Kodi zote hizo zipo kwa mujibu wa sheria, unaweza ksema hilo lundo unalolipigia chapuo?
Twambie basi huo mlundikano? Mfano double taxation etc. Huwezi kulalamika mlundikano bila kutolea ufafanuzi kuonyesha kwamba kuna kodi hii ambayo haitakiwi au ipo kimakosa etc kutokana na issue hii au ile? Wacha kamba? Usilalamike tu bila kutoa solution ambayo itasaidia kuboresha hizo kodi.Kwani zote zikiwa kwa mujibu wa sheria haziwezi bado kuwa ni mlundikano?
Hujawahi kuagiza gari ndio Mana unaanzisha thread za kulia LiaMwaka 2021 umeanza kwa kutangazwa kodi au tozo ambazo awali hazikuwepo. Tumesikia ukaguzi wa magari, garama za kuagiza magari zimepanda mara mia, tozo katika bidhaa nyingi za nje nk.
Serikali lazima itoze kodi ili iweze kufikia malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Tozo za magari kila mwaka hata ulaya zipo, huwezi kuwa na gari barabarani ambalo halijaangaliwa kwamba lipo imara kuwa barabarani na ni salama, kila mwaka unless lina miaka mitatu tangu liwe jipya vinginevyo kila mwaka lazima likaguliwe na mwenye gari alipie ukaguzi huo kila mwaka. (Ulitaka nani alipie wakati wewe ndiye unatumia hilo gari?) Tmechoka na ajai ambazo hazina mkia.
Nchi haiwezi kutegemea misaada, kwani Watanzania wote ni vilema? Nchi inatakiwa ijiwezeshe yenyewe hatuna mjomba huko nje wa kutusaidia.
Sekta binafsi ilijisahau kwa kufikiria ni lazima Serikali iwape unafuu kufanya shughuli zao. Je, kama sekta binafsi inataka kodi nafuu inafikiria Serikali itapata wapi fedha za kujiendesha? Je, ni nani alipe hiyo gharama? Tanzania ina watu millioni 60 na ushee hatuwezi kuwa wakinga bakuli!
Ni lazima kila sekta ilipe kodi, wafanyakazi wanakatwa kila mwezi kwa nini wafanya biashara wanafikiri wao ni muhimu zaidi kuliko wengine? Kila mahali watu ni lazima walipe kodi stahiki bila kupepesa macho. Nchi haitaendelea kwa sababu kuna watu au kikundi ambacho kinafikiri lazima kihurumiwe kulipa kodi.
mihemuko???soma Tena maana wewe ni kilaza ndo uje na upupu wako apa
Ndo tatizo la waafrica.hata tume huru ya uchaguzi mnafikiri ni hisani ya nyinyiemu.mawazo mgando kabisa haha.Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Sheria za kutungwa kila siku kwa ajili ya kuwakamua watu?hata Leo watakuwa wanabuni sheria mpya ya kumnyonya mwananchi,Mkuu huo mlundiko unaosema ni upi? Kodi zote hizo zipo kwa mujibu wa sheria, unaweza ksema hilo lundo unalolipigia chapuo?
Uendeshaji wa serikali yoyote unategemea kodi. Tatizo kubwa kwetu ni namna ya ukusanyaji wa kodi. Bidhaa au shughuli moja inawekewa kodi nyingi katika hatua mbali mbali, na zingine ni kero na kupoteza muda. Jana nimenunua mkate wa sh 1000 nikaambiwa nisubiri stakabadhi. Ilinichukua zaidi ya dakika 3 kupata hiyo risiti. Hakuna mwenye kujua thamani ya muda katika watunga sera na wanasiasa wetu. Hawana utashi wa kuona ni vipi muda utumike vizuri kwa maendeleo ya nchi.Mwaka 2021 umeanza kwa kutangazwa kodi au tozo ambazo awali hazikuwepo. Tumesikia ukaguzi wa magari, garama za kuagiza magari zimepanda mara mia, tozo katika bidhaa nyingi za nje nk.
Hii inaashiria vyanzo vya mapato vilivyomo nchini vikilinganishwa na miradi tunayoanzisha nakusimamia vinakinzana. Gharama za miradi zipo juu kuliko uwezo wetu wa kukusanya. Misaada nayo imeshuka kutokana na covid na diplomasia yetu ya kimataifa kukosa mwelekeo na mtu sahihi wakuisimamia.
Tunachokwenda kuvuna huko tuendako ni ongezeko la watu wasio na ajira kwa sababu sekta binafsi inakwenda kudidimia....Bora Kodi ndogo inayolipwa na watu wengi kuliko kutegemea Kodi kubwa inayolipwa na watu wachache, Wizara ya fedha irudi kwenye maltiplier effects zitokanazo na kila transaction yakibiashara nchini.
Mkuu huo mlundiko unaosema ni upi? Kodi zote hizo zipo kwa mujibu wa sheria, unaweza ksema hilo lundo unalolipigia chapuo?
Kazi ni kuifuatilia hiyo plate number, utazungushwa na kudaiwa hongo inayozidi deni la gari.[emoji23][emoji23] uchumi wakati
View attachment 1683783
Hii nchi maajabu hayaishi kamwe,wanaosisitiza wenzao kulipa kodi wao hawalipi mfano Rais ambaye ndiyo Kiongozi wa Nchi halipi Jodi. Je,huyo siyo Mwananchi Mzalendo?Serikali lazima itoze kodi ili iweze kufikia malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Tozo za magari kila mwaka hata ulaya zipo, huwezi kuwa na gari barabarani ambalo halijaangaliwa kwamba lipo imara kuwa barabarani na ni salama, kila mwaka unless lina miaka mitatu tangu liwe jipya vinginevyo kila mwaka lazima likaguliwe na mwenye gari alipie ukaguzi huo kila mwaka. (Ulitaka nani alipie wakati wewe ndiye unatumia hilo gari?) Tmechoka na ajai ambazo hazina mkia.
Nchi haiwezi kutegemea misaada, kwani Watanzania wote ni vilema? Nchi inatakiwa ijiwezeshe yenyewe hatuna mjomba huko nje wa kutusaidia.
Sekta binafsi ilijisahau kwa kufikiria ni lazima Serikali iwape unafuu kufanya shughuli zao. Je, kama sekta binafsi inataka kodi nafuu inafikiria Serikali itapata wapi fedha za kujiendesha? Je, ni nani alipe hiyo gharama? Tanzania ina watu millioni 60 na ushee hatuwezi kuwa wakinga bakuli!
Ni lazima kila sekta ilipe kodi, wafanyakazi wanakatwa kila mwezi kwa nini wafanya biashara wanafikiri wao ni muhimu zaidi kuliko wengine? Kila mahali watu ni lazima walipe kodi stahiki bila kupepesa macho. Nchi haitaendelea kwa sababu kuna watu au kikundi ambacho kinafikiri lazima kihurumiwe kulipa kodi.
Kumbe hujui umuhimu wa wafanya biashara. Wewe mfanyakazi unakatwa 5% ya mshahara wako kwa ajiri ya akiba yako ya uzeeni na serikali inakuongezea 15% , Askari hawakatwi hata centi na uzeeni wanalipwa pensheni. Malipo hayo ni kodi za wafanya biashara ambao hawana pensheni uzeeni na wanakufa wakiwa kazini.Serikali lazima itoze kodi ili iweze kufikia malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Tozo za magari kila mwaka hata ulaya zipo, huwezi kuwa na gari barabarani ambalo halijaangaliwa kwamba lipo imara kuwa barabarani na ni salama, kila mwaka unless lina miaka mitatu tangu liwe jipya vinginevyo kila mwaka lazima likaguliwe na mwenye gari alipie ukaguzi huo kila mwaka. (Ulitaka nani alipie wakati wewe ndiye unatumia hilo gari?) Tmechoka na ajai ambazo hazina mkia.
Nchi haiwezi kutegemea misaada, kwani Watanzania wote ni vilema? Nchi inatakiwa ijiwezeshe yenyewe hatuna mjomba huko nje wa kutusaidia.
Sekta binafsi ilijisahau kwa kufikiria ni lazima Serikali iwape unafuu kufanya shughuli zao. Je, kama sekta binafsi inataka kodi nafuu inafikiria Serikali itapata wapi fedha za kujiendesha? Je, ni nani alipe hiyo gharama? Tanzania ina watu millioni 60 na ushee hatuwezi kuwa wakinga bakuli!
Ni lazima kila sekta ilipe kodi, wafanyakazi wanakatwa kila mwezi kwa nini wafanya biashara wanafikiri wao ni muhimu zaidi kuliko wengine? Kila mahali watu ni lazima walipe kodi stahiki bila kupepesa macho. Nchi haitaendelea kwa sababu kuna watu au kikundi ambacho kinafikiri lazima kihurumiwe kulipa kodi.
Upo sahihi kabisa. Mbali na hao wanaobadirisha biashara, wapo wanao badirisha majina ya umiliki. Tra kila mwaka wanapandisha kodi, bila kujali kama biashara hiyo imepanda. Miaka 10 ndani ya biashara ya kiduka au biashara yoyote ya kawaida, utalipa kodi kumzidi anae anzisha biashara ya jumla mwaka huu.Mkuu, umejieleza vizuri. Wanacholalamikia wafanyabiashara ni fairness katika makadirio kulingana na ukubwa au udogo wa biashara. Rais wa Zanzibar Dr. Mwinyi amelisemea hili last week.
Kuna wimbi kubwa la " business shifting" nchini ambalo kwa miaka ya nyuma halijawahi kutokea. Wenye biashara rasmi na zenye kutozwa kodi wanafunga na kuhamia kulima nyanya ambayo haina kodi, pita Dodoma utajua ninachosema! Soko la mitamba wa ngombe wa maziwa limeongezeka, watu wanashift kuanza kufuga au kufanya ambavyo havina direct kodi au kodi ni kidogo.
Kuna haja ya kupunguza kodi naadhi ya maeneo,kuongeza motisha wa ufunguaji biashara nyingi zotakazozalisha walipa kodi wengi!
Uchumi wa katiView attachment 1683806