Hakuna wa kumsaidia huku if, lakini kilio nacho unataka kumziba mdomo?Acha kulialia kama unadaiwa lipa ndiyo dawa huku JF hakuna wa kukusaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wa kumsaidia huku if, lakini kilio nacho unataka kumziba mdomo?Acha kulialia kama unadaiwa lipa ndiyo dawa huku JF hakuna wa kukusaidia.
Binafsi nimejitoa sadaka kuusema ukweli maana ukweli utaniweka guru. Ni muda mrefu sasa tumekua tukijifariji na kufarijiwa kwamba Tanzania hakuna corona. Lakini tukiangalia nchi majirani zetu wrote wanasumbuliwa na ugonjwa huu , kwanini sisi tu?Mwaka 2021 umeanza kwa kutangazwa kodi au tozo ambazo awali hazikuwepo. Tumesikia ukaguzi wa magari, garama za kuagiza magari zimepanda mara mia, tozo katika bidhaa nyingi za nje nk.
Hii inaashiria vyanzo vya mapato vilivyomo nchini vikilinganishwa na miradi tunayoanzisha nakusimamia vinakinzana. Gharama za miradi zipo juu kuliko uwezo wetu wa kukusanya. Misaada nayo imeshuka kutokana na covid na diplomasia yetu ya kimataifa kuk
Binafsi nimejitoa sadaka kuusema ukweli maana ukweli utaniweka guru. Ni muda mrefu sasa tumekua tukijifariji na kufarijiwa kwamba Tanzania hakuna corona. Lakini tukiangalia nchi majirani zetu wrote wanasumbuliwa na ugonjwa huu , kwanini sisi tu?[emoji23]
Ikanilazimu kuendesha utafiti wangu kwa siri nikishirikiana na meneja wangu idara ya majengo na meneja wangu idara ya masoko, kwa pamoja tumethibitisha kuwa kuna zaidi ya wafanyakazi 15 walioingia kiwandani hapa wanavyo vimelea vya virusi hivyo (japokua hawajaanza kuonyesha dalili). Sasa baadae ya kuligundua hilo (na vithibitisho ninavyo), nimeazimia kuwa kila mgeni anayeingia kiwandani au mfanyakazi, ahakikishe amevaa barakoa ili kuzuia maambukizi kuenea zaidi. Na kama hali itaendelea kuwa mbaya zaidi nitaiomba serikali ifikirie kuutangazia umma wa watanzania kuwa corona bado IPO na tuchukue tahadhari.
Na huo ndio uzalendo.
S. Nkelebe
+255754265167
Hahahah. Sawa sisi ni 'doughnut country!'Cc ni dona kantriii.
Wacha waisome namba eeeeeeeee Ccm mbele kwa mbeleeeeee.
Wapi hawatungi sheria kila siku? Sheria zinatungwa kutokana na mazingira yanavyobadilika ili kuleta tija kwa taifa.Sheria za kutungwa kila siku kwa ajili ya kuwakamua watu?hata Leo watakuwa wanabuni sheria mpya ya kumnyonya mwananchi,
Ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze
If you know that, why then can't you contact your MP in order to change that?Then, tunaweza kusema sasa bila shaka yoyote kuwa, kumbe tatizo linaanzia kwenye sheria yenyewe ya kodi...
Kama sheria yenyewe ya kodi ni mbaya, maana yake hata hicho kilichoko kwa mujibu Wa sheria hiyo hakiwezi kuwa kizuri...!!
Sijui kama utakuwa umeelewa...
Tatizo lako uelewa ni mdogo. Rais anafanya kazi 24 hrs hana likizo ki-vile unavyofikiria. Gombea na wewe urais usilipe kodi, kupanga ni kuchagua.Hii nchi maajabu hayaishi kamwe,wanaosisitiza wenzao kulipa kodi wao hawalipi mfano Rais ambaye ndiyo Kiongozi wa Nchi halipi Jodi. Je,huyo siyo Mwananchi Mzalendo?
Sio lazima ufanye biashara, kama hutaki kulipa kodi? Lazima mtapike kodi zile zama za kuwaonea huruma zimekwisha. Its very simple, if you don't want to pay the tax do not do business.Kumbe hujui umuhimu wa wafanya biashara. Wewe mfanyakazi unakatwa 5% ya mshahara wako kwa ajiri ya akiba yako ya uzeeni na serikali inakuongezea 15% , Askari hawakatwi hata centi na uzeeni wanalipwa pensheni. Malipo hayo ni kodi za wafanya biashara ambao hawana pensheni uzeeni na wanakufa wakiwa kazini.
Mkuu, umejieleza vizuri. Wanacholalamikia wafanyabiashara ni fairness katika makadirio kulingana na ukubwa au udogo wa biashara. Rais wa Zanzibar Dr. Mwinyi amelisemea hili last week.
Kuna wimbi kubwa la " business shifting" nchini ambalo kwa miaka ya nyuma halijawahi kutokea. Wenye biashara rasmi na zenye kutozwa kodi wanafunga na kuhamia kulima nyanya ambayo haina kodi, pita Dodoma utajua ninachosema! Soko la mitamba wa ngombe wa maziwa limeongezeka, watu wanashift kuanza kufuga au kufanya ambavyo havina direct kodi au kodi ni kidogo.
Kuna haja ya kupunguza kodi naadhi ya maeneo,kuongeza motisha wa ufunguaji biashara nyingi zotakazozalisha walipa kodi wengi!
Umeshawahi kufanya biashara yyte!?Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
My friend, siyo kila biashara inatozwa kodi ujue! Msukuma anayemiliki ngombe 1000 pale Mpanda, halipi kodi yoyote!! Is that not a business?Sio lazima ufanye biashara, kama hutaki kulipa kodi? Lazima mtapike kodi zile zama za kuwaonea huruma zimekwisha. Its very simple, if you don't want to pay the tax do not do business.
Mimi ni mkulima hapa Ruvu ninalima mahindi ya kuchoma na mboga mbogaUmeshawahi kufanya biashara yyte!?
What's your point?My friend, siyo kila biashara inatozwa kodi ujue! Msukuma anayemiliki ngombe 1000 pale Mpanda, halipi kodi yoyote!! Is that not a business?
Na huyu hadi leo amewekwa kundi la masikini ( Mfugaji)!
Sasa mkuu si useme sheria ipi ya kodi sio nzuri au haitakiwi na kuweka mizania ya faida yake na hasara zake kuliko kupayuka tu. Weka facts mkuu!Then, tunaweza kusema sasa bila shaka yoyote kuwa, kumbe tatizo linaanzia kwenye sheria yenyewe ya kodi...
Kama sheria yenyewe ya kodi ni mbaya, maana yake hata hicho kilichoko kwa mujibu Wa sheria hiyo hakiwezi kuwa kizuri...!!
Sijui kama utakuwa umeelewa...
Mwenyewe unajiona umeweka bonge la point? FYI JPM alipoingia alishusha mshahara wake kutoka apprx. USD 15000 alizokuwa anapata JK hadi kufikia USD 5000 equivalent. BTW I can give you that as his tax ambayo ni approx. 60%. Wajinga kama wewe JF wapo wengi.Hii nchi maajabu hayaishi kamwe,wanaosisitiza wenzao kulipa kodi wao hawalipi mfano Rais ambaye ndiyo Kiongozi wa Nchi halipi Jodi. Je,huyo siyo Mwananchi Mzalendo?
I was refering to your ilusial comment! That, farming is not a formal bussiness". Under good governance, cattle owners could share equally in boosting national income through tax paying. Contrarly, they are looked at as " poor" community irregardless of others owning thousands of cattle herds!What's your point?
Uko sahihi sana. Na ilipaswa wazalishaji wengine nao wafanye hivyo kuinua zaidi na kwa pamoja pato la nchi yetu. Je, ni eneo lipi mfugaji ambaye ni mzalishaji sawa au zaidi yako kisheria anawajibika kulipa kodi kulingana na idadi ya mifugo yake? Niambie Mkuu, hapo mapori ya Ruvu kuna wamasai na mifugo lukuki,isingekuwa busara tukaona njia nzuri nao wakachangia kisheria kama sisi tunavyofanya? Dhambi ni ipi kama watafanya hivyo?Mimi ni mkulima hapa Ruvu ninalima mahindi ya kuchoma na mboga mboga
Kila wiki kuna magari yanakuja shambani kwangu kuchukua bidhaa
Natii sheria za nchi bila masharti
Nalipa kodi zote
Naishi kama sultani katika nchi yangu
Nyie wajanja janja lazima muumie maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
af hapo ukute ipite miezi miwili bila semina zisizo na kichwa wala miguu unavyonuna sasa,mataga bwana sijui akili zenu kwajili ya kazi gani sijuiSerikali lazima itoze kodi ili iweze kufikia malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Tozo za magari kila mwaka hata ulaya zipo, huwezi kuwa na gari barabarani ambalo halijaangaliwa kwamba lipo imara kuwa barabarani na ni salama, kila mwaka unless lina miaka mitatu tangu liwe jipya vinginevyo kila mwaka lazima likaguliwe na mwenye gari alipie ukaguzi huo kila mwaka. (Ulitaka nani alipie wakati wewe ndiye unatumia hilo gari?) Tmechoka na ajai ambazo hazina mkia.
Nchi haiwezi kutegemea misaada, kwani Watanzania wote ni vilema? Nchi inatakiwa ijiwezeshe yenyewe hatuna mjomba huko nje wa kutusaidia.
Sekta binafsi ilijisahau kwa kufikiria ni lazima Serikali iwape unafuu kufanya shughuli zao. Je, kama sekta binafsi inataka kodi nafuu inafikiria Serikali itapata wapi fedha za kujiendesha? Je, ni nani alipe hiyo gharama? Tanzania ina watu millioni 60 na ushee hatuwezi kuwa wakinga bakuli!
Ni lazima kila sekta ilipe kodi, wafanyakazi wanakatwa kila mwezi kwa nini wafanya biashara wanafikiri wao ni muhimu zaidi kuliko wengine? Kila mahali watu ni lazima walipe kodi stahiki bila kupepesa macho. Nchi haitaendelea kwa sababu kuna watu au kikundi ambacho kinafikiri lazima kihurumiwe kulipa kodi.
Rahisi tu naenda kwa sign writer ananitengenezea nyingine.😂😂 uchumi wakati
View attachment 1683783