Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Contributing factors ya kuto kukua kwa hizi biashara ndogo nimezitaja. Kuna zinavitozo tozo vingi vya ajabu ambazo hazijawekwa na wizara ya fedha bali halmashauri na regulators.Hapa ndipo nabaki kushangaa akili ya mwafrica. Kwa hiyo serikali iko tayari iwape favour wafanyabiashara wakubwa wa nje au wenye mitaji mikubwa ambao hawafikibhata 1% kuliko iwasaidie makapuku walio wengi ambao yenyewe inawaita wanyonge?
Na kuna swala la kutoelewa namna ya kufanya hesabu zao kwa mujibu wa sheria ili wapunguze kodi zao; you can’t cheat on VAT or PAYE hizo kama una akili zako timamu lipa na tumia EFD ili usigombane na TRA; but income/corporate taxes is another story there are so many loopholes to reduce the bill.