Hujui kitu wewe mpumb.vu.
Sisi wafanyabiashara wote tunatatizwa na kodi zisizo rafiki.
Mfanyabiashara mwenye mtaji wa 600 milioni kwenye biashara moja na ambaye ana biashara 5 ni mdogo!?
Huwezi kutengeneza mabilionea bila kuwa na urafiki na wafanyabiashara wenye mitaji midogo.
Mwaka 1998 nilianza kuingiza Kariakoo mzigo wa 260 milioni. Nilikuwa nawapa wafanyabiashara wadogo wapatao 43. Mwaka 2001,wafanyabiashara wadogo 18 kati ya wale 43 wakawa wanaleta wenyewe mizigo ambayo wa kiwango cha chini ilikuwa ni 70 milioni.
Leo hii niambie ni wangapi wanaendelea kutengenezwa kuwa wafanyabiashara wakubwa!!
Sent using
Jamii Forums mobile app