Kitendo cha mabeberu kufungasha na ongezeko la utitiri wa kodi

Hapa ndipo nabaki kushangaa akili ya mwafrica. Kwa hiyo serikali iko tayari iwape favour wafanyabiashara wakubwa wa nje au wenye mitaji mikubwa ambao hawafikibhata 1% kuliko iwasaidie makapuku walio wengi ambao yenyewe inawaita wanyonge?
Contributing factors ya kuto kukua kwa hizi biashara ndogo nimezitaja. Kuna zinavitozo tozo vingi vya ajabu ambazo hazijawekwa na wizara ya fedha bali halmashauri na regulators.

Na kuna swala la kutoelewa namna ya kufanya hesabu zao kwa mujibu wa sheria ili wapunguze kodi zao; you canโ€™t cheat on VAT or PAYE hizo kama una akili zako timamu lipa na tumia EFD ili usigombane na TRA; but income/corporate taxes is another story there are so many loopholes to reduce the bill.
 
Hizi kodi zitaleta demokrasia Nchini. Mark my words.
 
Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
M
Mkuu Tatizo Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Kwa sasa nchi yetu ipo Uchumi wa kati na wote tunafaidi sana
Kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha ni bam bam isipokua nyie wapiga dili poleni lazima mumchukie na muumie sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Mkuu unaposema kodi ni nzuri unamaanisha nn?

Unalinganisha na nchi jirani zetu mfano kenya, ug, burundi au zambia?

Ni kwenye siasa tu ndo unaweza kusema kuwa red maana yake ni nyeupe na ukaeleweka.
Kwenye maisha ya kawaida huwezi mdanganya mtu kwa sababu kila mtu anaishi na uhalisia wa maisha anauona.

Baada ya kuwamaliza wapiga dili sasa madili wanapiga wao.
 
[emoji1787]
 
Taxes nyingi za kibiashara Tanzania zipo sambamba na global average; issue labda import duty.
 
Safi sana! JPM piga kazi baba... Wakwepa kodi hawana tofauti na majambazi ๐Ÿ˜„
 
Kuwaza kuwa Kuna mtu anapinga kutozwa Kodi ni upumbavu mwingine.
Issue hapa ni viwango visivyoendana na kipato cha mlipaji.

Sekta binafsi inauawa kwa makusudi mazima
1. Ulinzi ni Suma jkt
2. Ujenzi no Suma jkt nk
Hapo utasemaje ilibweteka?
 
Mtafanikiwa Sana, lakini ngo'ombe anatoa damu badala ya maziwa
 
Inabidi ulipe tuu hamna namna
Hapo huchomoi ila washughulie jinsi ya kuwakamata madereva wenye majina yanayo daiwa maana kuna jamaa yangu anadai wakati hajawahi mpa mtu gari na jina la mwenye leseni sio lake na wanataka alipe
 
Hapo huchomoi ila washughulie jinsi ya kuwakamata madereva wenye majina yanayo daiwa maana kuna jamaa yangu anadai wakati hajawahi mpa mtu gari na jina la mwenye leseni sio lake na wanataka alipe
Kwanini unanisema hadharani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ