Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mie sio mtu wa ligi mbona mrangi, mie huwa mkweli tu..We mwanangu ntakuweza kweli
Maana kwa ligi nakujuwa 😄
Ova
naona mnapeana moyo na matumaini na ndugu yako Ben 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie sio mtu wa ligi mbona mrangi, mie huwa mkweli tu..We mwanangu ntakuweza kweli
Maana kwa ligi nakujuwa 😄
Ova
Sawa bana mzee wa ligi 😄mie sio mtu wa ligi mbona mrangi, mie huwa mkweli tu..
naona mnapeana moyo na matumaini na ndugu yako Ben 🤣
Wewe unatoa amri ya kutokalamika kama nani au ubwege ulionao kichwani ndio tatizo kifupi endelea kudeki vyoo vya lumumba huku ukivizia teuz huku ambazo hutozipata.Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Jifunze kuandika kwa usahihi lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Hueleweki.Ushauri wa bure kwa vyama makini hacheni kushiriki chaguzi yeyote inayosimamiwa na TAMISEMI na tume hii ambayo ilishiriki kuvuruga uchaguzi 2020.
Ni aibu na ajabu mtu aliyetaka kukuzuru na kukua na kasema adharani leo anakuahidi kuwa hatakupa sumu tena, so wapinzani msishiriki huu uchaguzi nawaita mara tatu, TAMISEM wanamatokeo teyari ya uchaguzi serikali za mitaa.
Nimemarza.
Ipo chini ya Ofisi ya RaisTAMISEMI ipo chini ya mkwe
Uko sahihi mkuuTunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya kubariki TAMISEM kuendelea kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia maono yangu uchaguzi wa 2025 nao utasimamiwa na tume ile ile, watu wale wale kwa kigezo au vigezo vitakavyotolewa katika hukumu hii.
Kipi cha kujifunza Tanzania tusitegemee kuja kuwa na uchaguzi wa huru na haki, tusitegemee kuitoa CCM kwa kupeleka kesi mahakamani kwakua mahakama zina maelekezo teyari.
Pia tujifunze kuwa Mahakama, na vyombo vya dola ndivyo vinatuumiza, pia mawakili wa kujitegemea msipende peleka kesi zenu kwenye mahakama za Tanzania hasa zinazo igusa CCM kwa lengo la kuiondoa madarakani bali unganisheni nguvu kwenye vyama vya upinzani na kutoa elimu ya uraia kwa watanzania hasa wa vijijini juu ya uzarimu wa Serikali na CCM hapo mtapata uungwaji mkono lakini mahakama siyo sehemu za kukimbilia.
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi ofisini kupitia mafaili yenu.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Utaenda kukata rufaa wapi? Kwenye Mahakama gani na zilizopo kwenye nchi gani?Tutakata rufaa mpaka haki ipatikane
Huyu mrangi haeleweki😎😎elezea kwa kina kifupi kidogo mrangi kwa faida ya wadau, hao jamaa wamebana wapi sana 🤣
Uko sahihi mkuu
Lakini hii kesi itathibitisha madai kuwa mahakama zetu haziko huru
Pili itadhibitisha madai kuwa ccm inaogopa uchaguzi kiasi kwamba inatafuta unafuu kupitia tamisemi
Nadhashauru baada ya ccm kupewa ushindi batili mahakamani, wapinzani wasusie uchaguzi
Hii itakuwa ni sababu ya maandamano yasiyokoma ya kushinikiza uchaguzi uhairishwe ili maandalizi yafanyike kwanza chini ya tume ili uchaguzi ufanyike mwakani pamoja na uchaguzi mkuu
Umesikia hoja za mapingamizi ya serikali kuhusu kesi hii :
Msikilize wakili kutoka Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa serikali hoja zake kwanini serikali inataka TAMISEMI iendelee kuwa msimamizi wa uchaguzi 2024
- Kesi ni ya kikatiba haiwezi kuamuliwa na Mahakama, maana yake ni bunge la chama kimoja libadilishe katiba
- Waliotuma maombi *(Waliofungua kesi ) Bob Wangwe na wenzie 3 watawanyima nafasi mamilioni ya watanzania wasipige kura November 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=X-Qk-eBMyxs
Hivi sasa hukumu ina andaliwa na CcmUMAKINI WA KURIPOTI KESI ZA MAHAKAMANI :
Tatizo hata vyombo vya habari media House kubwa Tanzania , hawana waandishi wa kutoa ripoti za mahakamani ili wananchi waelewe muenendo wa kesi mbalimbali, ikiwemo hii kesi muhimu iliyofunguliwa na wananchi watatu Bob Wangwe na wenzie 2 wakitetewa na jopo linaloongozwa na wakili msomi Jebra Kambole.
Mwisho wa siku watu watashangaa hukumu ikitolewa lakini hawana ufahamu wa mwendendo wa kesi hii siku kwa suku inapisikilizwa
Na hapa JamiiForums uzi huu utaunganishwa fasta, ili kuwapoteza watu wasieleewe nini kinaendele
Yes CCM na mahakama ni kitu kimojabirds with same feathers giving hope to each other 🤣