Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

hiyo nchi wanaipigania nan anawatawala ?

Mdusi94: Swali ni nani anawatawala ni mfupa mgumu kwa Wapelestina kuujibu! Wemeuza narratives nyingi mno kuhusu hilo.

Halijawahi kuwepo taifa linaloitwa Wapelestina chini ya jua, hakujawahi kuwepo utawala wowote unaotambulikana kama Palestina! Hakuna hata viashiria vyovyote vya utaifa (Soveregnity) Iwe bendera, historia nk! Huu Utambulisho umebuniwa tu along the way, miaka ya mwishoni 60 na 70! Kama njia ya Waarabu kupambana na Israel !

Mpiganaji wa Kipalestina (PLO) Zuheir Mohsen, alipohojiwa na na Gazeti la Trow( Truth), gazeti la Ki Dutch, mnamo mwaka 1977, aliweka wazi, hakuna taifa la Wapelestina! Sisi ni Waarabu tu!

    • The Palestinian people do not exist. There are no differences between Jordanians, Palestinians, Syrians and Lebanese. We are part of one people, the Arab nation. Lo and behold, I have relatives with Palestinian, Lebanese, Jordanian and Syrian citizenship. We are one people. It is only for political reasons that we carefully endorse our Palestinian identity. Indeed, it is of national interest for the Arabs to encourage the existence of the Palestinians in the face of Zionism. Yes, the existence of a separate Palestinian identity is only for tactical reasons. The establishment of a Palestinian state is a new means to continue the struggle against Israel and for Arab unity.
Ni ukweli usiokatalika kuwa jina "Palestine" ni la muda mrefu, na lilipewa na Warumi mahali panapoitwa Judea, baada ya kuwashinda Wayahudi mwaka kama 135CE, kama kuwakomoa dhidi ya adui yao wa jadi Wafilisti! Na hii kuwafanya baadhi ya wakazi wa awali kutawanyika nchi za jirani hadi ulaya.

Warumi walitawala maeneo hayo muda mrefu kama miaka 635, kutegemea vyanzo mbali mbali vya historia, na Mahali hapo pametawala na mamlaka nyingi, na ujio wa Waislamu mahali hapo nao uko wazi miaka, katika kipindi cha Caliph Umar 635-660 alipouteka mji wa Jerusalem, uwepo wa Uislamu ndio unapata mlango wa kuingilia mahali hapo, ikumbukwe Wakristo na Wayahudi walikuwepo na kuwa chini ya himaya hiyo.

Lakini ujio wa Utawala wa Ottoman Empire ambao ulivamia na kuteka na kutawala mahali hapo unatoa mchangamano mzuri na more documented kuhusu wakazi wa mahali hapo, kwani utawala wa Ottoman Empire ulidumu kwa miaka 600, lakini ulitawala mahali hapo kwa miaka takrabani 402 ( 1516-1918) na kuishia baada ya kushindwa kwenye vita vya kwanza na waingereza 1918.

Kumbuka kuwa Waturiki sio Waarabu, walipokuwa wakitawala sensa inaonyesha wazi wakazi wa mahali hapo walikuwa kama ifuatavyo:

Demographic history of Palestine (region)

https://en.wikipedia.org/wiki/Demographic_history_of_Palestine_(region)
Per McCarthy's estimate, in 1914 Palestine had a population of 657,000 Muslim Arabs, 81,000 Christian Arabs, and 59,000 Jews. McCarthy estimates the non-Jewish ...

Ukiangalia demographic data, zozote zile, ukweli unabakia kulikuwa na watu mchanganyiko, Waarabu (Waislamu) Waarabu Wakristo, na Wayahudi!

Hii inaua dhana kuwa Wayahudi HAWAJAWAHI KUWEPO (Kama baadhi ya Waarabu wanavyodai leo) mahali hapo! Ukweli unabakia kuwa hata kipindi cha Mandate ya Waingereza kuisha May 1948, mchanganyiko huu wa wakazi ulikuwepo, Waarabu wakiongoza kwa idadi, na Wayahudi wakiongezeka pia kutokea Ulaya na nchi nyingine za Kiarabu.

Labda kitu muhimu mno kukiweka hapa, ni vigumu kabisa kuiondoa Uingereza katika complexity za mahali hapo! Ili kuwaondoa na kuuishinda Ottoman Empire kwenye vita vya kwanza (Kumbuka Ottoman Empire ) ilkuwa upande wa Ujerumani. Mwingereza alitumia mbinu nyingi! Aliwaahidi Waarabu ( Sio waliokuwepo hapo Palestine tu) Waarabu wote waliokuwa chini ya Ottoman Empire atawapa utawala wao, wakisaidia kuwapiga Waturiki, Kumbuka Iraq, Jordan, Syria na wakazi hao mchanganyiko hapo Palestine wote walikuwa chini ya Waturuki.

Ahadi hiyo ya Waingereza aliitoa mahali hapo kwa Wayahudi pia! Mwamko wa Wayahudi kurudi kwao baada ya matukio matukio mengi huko ulaya uliwaamsha watu kama Theodor Herzl huko Ulaya, kutaka Wayahudi warudi kuungana na wenzao walioko Palestina kwenye kitovu cha asilia yao! Hapo neno ZIONISM linapojitokeza katika historia ya mahali hapo.

Kwa leo nitakomea hapo, kabala kuanza complexity history kulekea 1948......N ahadi tulipo leo, Nikipata nafasi next time, wengi wetu tumeshindwa kukaa chini, kusoma ili hata kuutetea msimamo unaoshikilia kwa kile kinachoendelea leo! Ni Historia inayochosha kidogo, na inataka muda!

Labda take away hapa, ni kuwa Waarabu ( Wapelestina) na Wayahudi wote wana historical attachment na hiyo land! Tatizo kila upande unataka iwe yao yote! Hao extremist wako pande zote! Upande wa Israel na upande wa Waarabu! Wako moderate pia.....Tutawachambua hao baadaye......Na pia kuna factors za Imani! Uislamu, Ukristo na Uyahudi......na una changia mno kuufanya mgogoro huu kukosa tiba ya kudumu....TUTAENDELEA NIKIPATA MUDA!
 
Code:
.Halijawahi kuwepo taifa linaloitwa Wapelestina chini ya jua, hakujawahi kuwepo utawala wowote unaotambulikana kama Palestina! Hakuna hata viashiria vyovyote vya utaifa (Soveregnity) Iwe bendera, historia nk! Huu Utambulisho umebuniwa tu along the way, miaka ya mwishoni 60 na 70! Kama njia ya Waarabu kupambana na Israel !
JamiiForums1982692867.jpg
 
View attachment 2908795

Endeleza maelezo yako......Nani alikuwa kiongozi......ipi ilikuwa ? Who coined this coin...? Nakusubiri...
 
Nimejibu ulichokiweka hapo ukionesha hakukua na symbol yoyote ya Palestine kabla ya miaka 70 iliyopita!. Asante.
 
Code:
.Halijawahi kuwepo taifa linaloitwa Wapelestina chini ya jua, hakujawahi kuwepo utawala wowote unaotambulikana kama Palestina! Hakuna hata viashiria vyovyote vya utaifa (Soveregnity) Iwe bendera, historia nk! Huu Utambulisho umebuniwa tu along the way, miaka ya mwishoni 60 na 70! Kama njia ya Waarabu kupambana na Israel !
View attachment 2908795

Please Just give the timeline......Nani alikuwepo or who was ruling the area at time (1927).....Unasahau kabisa Ottoman Empire ruled the Area from 1516-1918.....Na land ilikuwa inaiitwa Palestine for years......Who took over the area after the fall of Ottoman Empire.......?

Unasahau kabisa Ottoman Empire ilitawala hapo mahali kwa miaka 402 ( 1516-1918) .........
 
Who was ruling the land in 1927? Taja mfalme....Serikali....hata Imam tu......1927 Ni kipindi cha modern History? Just the coin ndio inaoshe kulikuwepo na taifa?
 
Unajua

coins ambazo zilikuwa zinatumiwa na Ottoman Empire wakati inatawala mahali hapo? Hizi hapa.....

1708327476328.png

Ndio Maana mnakosa hoja.......Hizi ni Pesa ambazo Utawala wa Ottoman Empire ulikuwa unatumia mahali hapo ambapo ulitawala kwa almost miaka 400.....Unasahau pia kuwa Ottoman Empire ilitawala sehemu kubwa Mno....Hivyo Pesa zake zilikuwa zina cover kila area....including Palestine....!

Ndio maana narudia, Wateteeni Wapelestina kwa kila hoja, hakuna kabisa Historical facts za Taifa la Waarabu Mahali hapo....PERIOD! Historia haiko upande wao.....They have created a fake and false narrative not supported with historical facts.......

You canot propagate your cause with lie.....Ukweli unabakia pale pale, Waarabu walikuwepo mahali hapo....na walikuwa majority, Waarabu Wakristo walikuwepo hapo pia, na Wayahudi walikuwe hapo pia! Utawala wa Ottoman uliwatawala wote! Uingereza ilipochukua baadaya ya kuanguka kwa Himaya ya Ottoman 1918 ilipakuta hivyo!

Nini kilitokea baada ya hapo hiyo ndio hoja! HAKUJAWAHI KUWEPO TAIFA LA WAPALESTINA MAHALI HAPO....Is just a historical fact!
 
Please Just give the timeline......Nani alikuwepo or who was ruling the area at time (1927).....Unasahau kabisa Ottoman Empire ruled the Area from 1516-1918.....Na land ilikuwa inaiitwa Palestine for years......Who took over the area after the fall of Ottoman Empire.......?

Unasahau kabisa Ottoman Empire ilitawala hapo mahali kwa miaka 402 ( 1516-1918) .........
Mkuu,mimi sijaja kupinga andiko lako bali nimekuonesha makosa yako hapo nilipopajadili.
 
Nimejibu ulichokiweka hapo ukionesha hakukua na symbol yoyote ya Palestine kabla ya miaka 70 iliyopita!. Asante.

King Kigoda.....Labda hukunielewa kabisa.....Jina Palestine limekuwepo miaka....Nchi hiyo imetawaliwa na Mamlaka nyingi kwa miaka, Utawala wa Mwishoni kwa miaka mingi ni Ottoman Empire ulitawala eneo kubwa mno! Jordan.....Lebanon....Syria nadhani...hata part of modern Iraq........Pesa zilizokuwa zinatumika zilikuwa na majina ya maeneo wanayo yatawala....Sina kabisa kipingamizi kuwa hakujakuwepo Eneo linaitwa Palestina....Nitakuwa mbumbumbu wa wa ukweli wa historia.

Nachopinga kabisa, kwa ushahidi wa Kihistoria uliko wazi, ni kuwa hakujawahi kuwepo taifa la watu wanaoitwa Wapelestina! Toka awali waliotambulika kama" Arabs" Hata official Partition ya UN, Resolution 181 ilipogawanya hiyo sehemu, iliweka jina Arab State...na Jewish State.....Maana nchi kwa ujumla ilikuwa Inaitwa Palestine!

1708329291094.png

Waarabu wametumia na kucheza na terminology za maneno kutengeneza madai yao!Eneo hilo miaka mingi ilibatizwa jina na Warumi, toka kuitwa Judea na Kuiita Palestine. Watawala wengi wametawala hapo, na wa mwisho kabisa ni Himaya ya Ottoman, haikubadili kabisa jina hilo! Waingereza walipopewa na UN baada ya Ottoman kushindwa hawakubadili jina Palestine.....UN (League of Nation) kuamua ugomvi, ikatengeneza mataifa mawili Arab State na Jewish State....Mwaka 1947......Israel ikakubali mgao wake, Waarabu wakakata......Kisa cha ugomvi mpaka leo....
 
Kwa mtazamo wako Hamas ndio walitaka na kuanzisha vita lakini historia inasema ni Uiengereza na wayahudi ndio walioanzisha vita 1947/48.
Wazee wanaita NAKBA .wanaona ilikuwa ni balaa kubwa.Enzi hizo mayahudi kwa kutumia silaha walizopewa na Uiengereza na wenzao wengine waliua watu idadi yao pengine ni zaidi ya hawa 29000 wa mwaka huu na 1250 waliouliwa oktoba saba ni nukta tu ya nakba.Wapalestina enzi hizo walikuwa na silaha duni sana hawakuweza kujitetea hata kidogo kulikofanywa na Hamas mwaka huu.
Sasa nani aliyeanzisha vita na nani ndiye muanzishaji na mchokozi mkubwa kati yao hapo.

Always....ni historia ipi unasoma...?
 
Back
Top Bottom