Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanazaidi ya 70+, yaani nife kwa ajili ya kukufurahisha wewe?Heee! Bai huu utakuwa unafiki uliovuka mipaka. Mkusanyiko wa kumuaga kiongozi mwenzao wa EAC sio wa lazima? Makubwa hayo😳😳😳😳
Hatari snUtanyooka tuu Mataga wewe
Mama ameshika usukani
Mmezoea kupiga dili Sasa mtakula mavi yenu
Nliwaambia muache hiyo tabia ya wizi hamkusikia
Pambaneni na hali zenu mataga nyie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Amen. Umewaza kama mimi mkuu. Wanasubiri kwenda kumzika swahiba/rafiki nyumbani kwao. Huko ndio kushibana.
Hiyo misiba ya wenzake ndio kama ipi mkuu? Kuna "residing president" yupi wa nchi jirani aliyekufa wakati wa miaka hii mi-5 ya uongozi wa Dr. JPM ambapo kamanda/mpiganaji hakwenda?Lakini hata hivyo Magufuli hakuwa na sifa za kwenda kwenye misiba ya wenzake
Labda wataenda kuzika Chato...you never know...na hasa kwa Museveni..Sasa kama ni hivyo, si wangeweza kuja lakini wakakaa mbali wasisogelee karibu au wanasubiri azikwe ndipo waje? Hii sio sawa hata kidogo na sio afya kwa mustakabali wa EAC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] corona incubator. Nimecheka sanaTz is Corona incubator
Masnichi tu wale, afu magu ndo alokua anacheka nao zaidi kuliko hata kenyatta alokuja kumzika
Masnichi tu wale, afu magu ndo alokua anacheka nao zaidi kuliko hata kenyatta alokuja kumzika
Sijui kwanini? Ila nimeona wasioenda misibani ndio uzikwa na watu wengi.Hata mimi nimeweza hivyo hivyo. Nadhani watakuja wakati huo, ila hata wasiopokuja, Museveni ndio italeta picha mbaya kwani hasa hizi siku za karibuni walikuwa na urafiki fulani. Lakini hata hivyo Magufuli hakuwa na sifa za kwenda kwenye misiba ya wenzake, hivyo sioni tatizo sana yeye kutozikwa na wengine pia. Sio sahihi kutaka Magufuli aonyweshe ukarimu ambao yeye hakuwa nao.
Yule ni political matuared......Pamoja na kulipua vifaranga vya kenya lakini Kenyatta hana noma
Kwamba mafisadi wanataka wakae watu wa muda mfupi mfupi [emoji23][emoji23][emoji23]CORONA SUPER SPREADER!!! Na huyu mama akifanya masihara ya kutokuvaa barakoa ataondoka, kwani ni mnene ikimpata hachomoi!! Mafisadi ndio maana wanamtegeshea Nchimbi ili baada ya muda wachukue!!! Mama Samia zinduka.