Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?


Hakuna chanjo yenye 100% efficacy hivyo barakoa inakuasaidia kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi ambayo yanatokana na msongamano wa watu!!!
 
Huwezi kujua ubaya wa Marehemu Magufuli mpaka u-deal naye. Mu7 na PK wame interact sana na Meko kuliko viingozi wengine wowote. Yaliyowapata wanajuwa yao
 
Wako safi na barakoa zao na social distancing kabisa. Uhai haununuliwi. Usalama wao wa Rais unajielewa kuwa Rais is always an asset protected out of auctioning.
 
Hiyo ngonjera unayoimba imekosa waitikiaji! Madaktari wake waliomtibu wametoa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo!! Huyo taahira wenu wa ubelgiji ameshaaibika!! Njia ya mwongo ni fupi!!
Of course kwa mtu kama wewe ni lazima utasema hivyo. Sikulaumu kwa sbabu ya upeo wako wa kuchakatua mambo. Kwa kifupi Magufuli alipelekwa Nairobi ikashindikana akarudishwa na kufia Dar. Gazeti la Daily Nation limeelezea kwa kirefu na kwa uhakika ilivyokuwa. Tafuta nakala yake usome kama unajua kiingereza. Liko kwenye mtandao la juzi ile....
 
Ummy mwalimu alikuwa waziri bora sana kwani alihimiza watanzania kunawa mikono kuvaa barakoa kwa bidii kubwa mpaka corona ikawa siyo Tatizo kubwa Tanzania lakini huyo waziri wa sasa ni mjinga hajui kitu kashindwa hata kuhimiza watu kuvaa barakoa mda wote
 
Urafiki wa kagame na magufuli ulikwisha baada ya magufuli kujenga urafiki na Rais wa Congo akagoma kutoa majeshi ya Tanzania kule Congo apishe kagame kuvamia Congo kuiba madini
 
Siioni kama tatizo la waziri. Mi naliona kama tatizo la ofisi kuu. Na sasa vichwani wanajifanya kuenzi na kufuata nyayo . Na hii lazima itupoteze mazima
 
Akili ndogo jifunze kufikiri positive au kaa kimya!
 
Ahaa kumbe! Hii unpredictability ni factor mojawapo nilikuwa naipenda, alishawabadilikia wahuni wengi tu
Urafiki wa kagame na magufuli ulikwisha baada ya magufuli kujenga urafiki na Rais wa Congo akagoma kutoa majeshi ya Tanzania kule Congo apishe kagame kuvamia Congo kuiba madini
 
Wote hao wawili wanaogopa kupinduliwa, hawaendagi popote hao kwa sasa, wanatawala kwa mabavu, wala hawamwani mtu nchini mwao. Nkurunzinza aliwah kuja Dar, na kugeuza kwa barabara (Dar - Kigoma - Burundi) saa chache tu baada ya kuwasili kwa kikao na mwenyeji wake JK.
 
Du kumbe wanaogopa wanaweza kurudi wakute viti vimekaliwa na mtu mwingine? Basi ngoja waendelee kukaa nyumbani walinde vitumbua vyao.
 
Ndiyo maana Uhuru alisema... Liwalo na liwe. Labda, kuna siri nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…