Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwepo pamoja na mke wake.Sina hakika mkuu pengine kaja!
Naamini watakuwa Chato katika kumalizia shughuli!!Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta amefika yeye mwenyewe mubashara kuja kumuaga hayati Dr Magufuli.
Nchi za Uganda na Rwanda hazijawahi kujiingiza kwenye utata wowote ndani ya EAC mbali na lile tukio ambalo Kenya iliishawishi Uganda kusaini makubaliano ya ujenzi wa reli kutoka Mombasa hadi Kampala pasipo kuishirikisha Tanzania.
Utawala wa hayati Rais Magufuli ulikuwa unafanana sana na ule wa Kagame, hadi watu kufikia hatua ya kudhani kuwa huenda staili yake ya utawala alikuwa ameinakili kutoka kwa Kagame. Pia Museveni amekuwa mara kwa mara akiitembelea Tanzania na amesikika mara nyingi akiufagilia utawala wa hayati Magufuli.
Sasa swali ni ni: Je, kwanini Kagame na Museveni wametuma wawakilishi kuja kuomboleza kifo cha Magufuli lakini Kenyatta amekuja yeye mwenyewe mubashara? Hawa majirani wawili wanaogopa nini kuja Tanzania? Is there any hidden agenda behind their absecnce in this crucial occasion?
Marais wametoka all the way from Southern Africa up to Tanzania lakini hawa jamaa wapo hapa karibu wame-mute tu! Kama nauli ya ndege ni tatizo wangeweza kusafiri hata kwa basi na kufika Dodoma mapema kabisa kumuaga kiongozi mwenzao aliyelala mauti. Hata wangeweza kukodi basi moja wakasafiri wote kwa pamoja ili kuokoa gharama. Lakini wameamua, kwa makusudi kabisa, kutuma wawakilishi. Je, hii ni sawa?
Kama ni hivyo, basi ile amri ya usiue Mungu asingetuwekea. Au kusingekuwa na haja ya kuwa huku u waliouwa kwa kuwa wametimiza Mpango wa Mungu..!!Ratiba yao haipo Chattle mkuu. Viongozi wote wa nchi wamealikwa Dodoma. Kwanini wao waende Chattle kupitia mlango wa nyuma? Mimi nadhani uoga wao unawaambia waje baada ya maziko. Wanateseka bure.....kamwe huwezi kukikimbia kifo.....kitakujia huko huko uliko na sio lazima mtu afe kwa korona; anaweza kufa hata kwa kansa, malaria, maradhi ya moyo, etc (JPM, 2021).
Tz is Corona incubator
Kumbuka musevenViongozi wote wa Afrika wamekuja Dodoma wao waende Chattle kusababisha usumbufu wa kiusalama kwani wao ni sehemu ya familia?
Sidhani kama hata huko Chattle wataenda ikiwa wameshindwa kuja Dodoma. Hawa jamaa ni wanafiki wakubwa, leo ndio nimewagundua.
Mungu hamfichi mnafiki. Wameumbuka mchana kweupe. Walikuwa wanasifia utawala wake kumbe walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Wanafiq wakubwa!🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Kumbuka museven hata msiba wa Mwl Nyerere maziko ya kitaifa dar hakufika lakini siku ya mazishi rasmi Butiama jamaa alishuka Kwa elkopita na bade tena akaenda Butiama Kwa gari kutoka Uganda Hadi Butiama hivo usiwe na shaka na huyo musera Chato lazima aje.Kagame sina uhakika.Viongozi wote wa Afrika wamekuja Dodoma wao waende Chattle kusababisha usumbufu wa kiusalama kwani wao ni sehemu ya familia?
Sidhani kama hata huko Chattle wataenda ikiwa wameshindwa kuja Dodoma. Hawa jamaa ni wanafiki wakubwa, leo ndio nimewagundua.
Mungu hamfichi mnafiki. Wameumbuka mchana kweupe. Walikuwa wanasifia utawala wake kumbe walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Wanafiq wakubwa!🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Wakenya ni ndugu zetu wa karibu. Hao wengine wana jamii ya uTutsi
Wanaogopa cvd.kama umemsikiliza uhuru amesema aliona liwalo na liwe lakini lazima aje
Kagame si alichanjwa hadharani kumbe chanjo hasizaidii?Wanaogopa cvd.kama umemsikiliza uhuru amesema aliona liwalo na liwe lakini lazima aje