Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

Ule mkeka mkubwa wa December 2022 mbona hausomwi?

Kama umegoma UCHANWE tujue moja.

Maana mtu yule alipotoboa 2022 binafsi simuongelei tena maana nilishamfuta.
 
Wamejaa unafiki hao.. waache basi kumtajataja Rais hata kwa vitu vya hovyo..

Mwigulu yuko sahihi kwa trend ya nchi inavyokwenda..
 
Kama Manager anamwita karani STUPID,

Owner wa Kampuni atatoa TUSI Gani?
 
Haya ndio mambo serikali ya Magufuli ilikuwa aingaiki nayo akishatoa maelezo mara moja; asietaka kuelewa kama Asad atajijua mwenyewe.

Mwigulu yupo sahihi kitaalamu kaeleweka, na ajasema raisi anashiriki kwenye wizi.

Ni uelewa mdogo tu wa wabunge na speaker namna ‘expenditure control procedures’ za matumizi zinavyofanya kazi.

Kilichonifurahisha ni somo atakalopata Bi Tozo kwa namna ilivyo rahisi watu kubadili meaning ya alichosema. Ndio hadithi za mtangulizi wake mengi ni mambo kama haya uzushi tu.
 
Lipi tatizo la waziri?

Nchi hii hadi ilipofikia kwenye suala la upigaji kwa sababu atuambiani ukweli, aingii akilini malipo yanayofanyika kiongozi mkuu asijue, sasa yeye kazi yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…