Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishiba tayariNilipokuwa kampuni fulani hivi kuna kipindi nilikuwa napiga "deals" ndefu ndefu mpaka ikafikia hatua simuogopi tena boss.
Si tunywe supu tu nyama tutazikuta chiniWatajuana huko huko 🤪🤪
Mwenyewe umefurahiii. Sukuma gang banaKwa maelekezo yako Mh. Rais. Alisikika Waziri mmoja akisema.
Halafu wao wakakiiba mazima (dhambi ya kufitinisha hii)Tena wanaaema kabisa Rais Samia ametoa kiasi kadhaaa
Wajuane wenyewe huku pesa za wajukuu wetu zinaliwa?!..Watajuana wenyewe
PhD za kupewa vs PhD za kusotea. Hapo moto lazima uwake.Kwani anayeidhinisha mwigulu yupo sahihi mama hajui lolote yeye ni kusaini tu
USSR
Kaongea kweli kabisaameitendea haki, ile kanuni ya chama " ntaisema kweli daima"
Yes!!Mwigulu amekata mzizi wa fitina.
Akiidhinisha mathalan magari yanunuliwe unadhani ni kazi ya Rais kushuhudia yakishushwa Bandarini?Kwani anayeidhinisha mwigulu yupo sahihi mama hajui lolote yeye ni kusaini tu
USSR
mlipaji mkuu na muhidhinishaji mkuuWatajuana wenyewe
Kwahiyo hakuna upigaji wowote kimsingi? [emoji848]Kama anahusika asitajwe ,?? Watanzania ni vichwa maji sana ,hakuna mtu mwenye akli timamu anaweza hangaika na ripoti ya CAG , ni ripoti flan hv ya kuwafanya watanzania wawe busy kujadili