Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

Wala hakuna utata au chochote cha ajabu, Waziri yuko sahihi, hajakosea chochote, sijaona kosa lolote, Waziri hajamtaja Rais kuhusika na ufisadi..
 
sasa yeye kama waziri wa fedha kama hawezi kumshauri rais masuala ya fedha namna ya kudhibiti matumizi mabaya ya fedha , ana faida Gani kama msaidizi wa rais
kama member wa baraz la mawaziri na faida yake Nini kwenye taifa letu?
uzalendo wake unaishia kwenye skafu TU?
 
Sawa tu angalia mtoto pendwa na rafiki yake Maharage
IMG_20230406_235714.jpg
 
Kwenye hili tumezunguka wewe hivi , mwenye kampuni au biashara unaweza mruhusu mhasibu wako kulipa ma B ya pesa hata kama wewe sio mtia "sahihi" bila kuwa na taswiswi, ebwana uliangalia kweli ni B au M hivi? Jamani hebu fanya kuwa unaniletea cheque za Ma B nione kwanza then muendelee na hatua zenu, mwisho Rais wetu kuna watu wema wako nae ,na kuna mafisi ni yeye sasa atambue mafisi ni wapi na wema ni wapi sisi tunajua, madarasa akijenga ni yeye, daraja likikamilika ni Rais, Hospital ikifanya vyema ni yeye, Team ya Taifa ikicheza vyema ni Yeye, pia Ajali kazini zikitokea ni yeye ajiwajibishe ?
 
Kama anahusika asitajwe ,?? Watanzania ni vichwa maji sana ,hakuna mtu mwenye akli timamu anaweza hangaika na ripoti ya CAG , ni ripoti flan hv ya kuwafanya watanzania wawe busy kujadili
Kwahiyo hakuna upigaji wowote kimsingi? [emoji848]
 
Back
Top Bottom