Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mmmmh wajukuu anao wakutosha lkn1. Anajua mazara ya kutokuoa.
2. Ndoa, pamoja na matatizo inakamilisha mtu.
3. Anataman kuona wajukuu zake, anaweza asiwe na mda mrefu.
Duh ilo nalo neno chief 😂1. Uache uzinzi
Ingawaje ndoa haizuii MTU kuwa mzinzi.
2. Waone Wajukuu wao.
Hii ndio wengi huipenda zaidi.
3. Wanahofia labda unamatatizo, hawajiamini. Wanahisi sio mwanaume rijali.
4. Wanaona unaakili mgando, hivyo ukioa; majukumu ya Ndoa yatakubadilisha uta-focus na Maisha na utatulia.
Hii Kwa wanaume wengi hufanya kazi. Wakioa na wakiwa Baba hubadilika na kuacha baadhi ya tabia za kitoto.
5. Wengine hutokana na Ukoo wenu kuwa Mdogo. Hivyo uoe na kuzaa uongeze ukoo.
6. Wengine wamechoka kuchangia harusi za wengine. Wanataka warejeshe Pesa zao kupitia harusi yako, kwani Rafiki zake watakuchangia.
Wewe ndio unajua jibu sahihi Kati ya hayo niliyoandika
😂😂😂Kwani chief we unaonaje hauna stress shida inakuja pale unapoumwa tuUlivoanza umetuchota tukae upande wako, umesema usimbe raha 😃
😂😂😂Umri sini namba chief au kunakingine mtu anaoa ana 45 kulea Ana 60 😂😂Una umri Gani?....acha kukwepa majukumu na kuendekeza umalaya...OAAAAA
Asante chief kwa ushauri wako kufosiana sio kuzuri hataPole sana... Fanya pale utakapokua tayari...
Kama ni hivyo kwann mzazi anashupalia hili jambo kama ni outomatic feeling chiefKuoa huwa ni automatic feelings tu
Kuoa unaleta kitunguu ndani unaachaje kutoa machozi nasubiri waniolee😆😆😂😂😂Duh
🙏😂Kamata dagaa piga
🙄 Htr hiiNdio msingi wa dunia, ilikuwa hivyo, na iko hivyo na itaendelea kuwa hivyo, lazima kizazi kiendelee, ujio wako dunia usiishie kutumalizia hewa, chakula na raslimali kisha ufe bila kutuachia kizazi.
Hiyo ni ya kwanza ni sababu ya kwanza kwako tu.Wazazi wana sababu nyingi kutaka mtoto wao wa kiume aowe.
Ya kwanza kabisa ni kuhakikisha wamezaa na kulea kidume siyo shoga.
Kuwowa shida nikipata wakufanana nae ChiefWanataka kuzini tuu hawa hawana lolote. Kuoa muhimu kijana una miaka 30 bado hujao huo ni ujinga
TABIA YAKO YA KUPENDA NGONO HIVYO WANAOGOA KUKUPOTEZA BILA KUACHA MTOTOHali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano.
Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze kuchukua mwanamke nakuweka ndani nikajua au kwakua yupo kizamani zaidi pamoja nakumwelewesha yote hayo lakini amekua akiharakisha suala la kuoa.
Tena nami nishajua Raha ya kuwa single ndio kabisa sasa naomba msaada wenu ktk hili Mimi kama mtoto nifanye maamzi au ndio niendelee kutulia zaidi ndani ya usimbe maana naogopa hata kupiga sim kuhofia hayo maneno na akianza kuongea Bi Mkubwa lazima usepe mbali kumpisha🗣️
We umeolewa labda naweza kuokota dodo chini ya mwembe😂Mzazi wako hataki uendelee kupata dhambi ya uzinzi
Apa sasa umegonga panyewe chief 😂 hivi vipengeleNdoa Kam ndoa kipengele Namba 1
Unamuoa Nani kipengele Namba 2
Kazi mnayo