Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading)
Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya uteuzi wa Waziri wa Fedha kutofautiana na waziri juu ya nchi kuwa bado uchumi wa kati na kukubaliana na mbunge Prof. Muhongo kuwa tumeshushwa na hatupo tena uchumi was kati hiyo ni ishara kubwa sana kisiasa.
Ikiwa mbunge tu ametoa hali ya uchumi halisia na waziri wa fedha hajui hali ya uchumi, hiyo ni ishara mbaya sana kwa waziri ni kama kusema Prof.Muhongo ndio anastahili kuwa waziri was fedha.
Kwa kuwa Prof.Muhongo anaamini hatupo uchumi wa kati na Rais anaamini hatupo uchumi na anapambana ili turejee uchumi wa kati kabla 2025 basi ninaamini Prof. Muhongo ndio anastahili kuwa waziri wa fedha ambaye ana mawazo yanayofanana na ya Rais na sio Dkt. Mwigulu ambaye anaamini bado tupo uchumi wa kati.
Swali : Je, ni kwa nini taarifa ya Mhe. Rais na ya waziri zikatofautiana?
Jibu: Rais ana vyanzo vingi vya kumpatia taarifa ,ana vyanzo vya ndani na vya nje hivyo hali ya uchumi inaangalia vyanzo vingi. Lakini ukweli unabaki palepale taarifa ya Dkt.Mwigulu sio sahihi.
Na kwa kusema hivi itoshe tu kusema kisiasa Prof. Muhongo kapata kibali mbele ya Rais na yeye anaamini Rais anachoamini na ni kitendo cha kusema Prof. katoa halisi ya uchumi na pengine ni yeye anaweza kumsaidia Rais wetu ili tufike uchumi wa kati tena.
Ombi:
Mhe.Rais wa JMT naomba umtazame Prof. Muhongo wa jicho la kipekee kwa nafasi ya juu ya ushauri na utendaji kwa sababu amethibitisha uwezo usiotia shaka.