blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,696
- 17,306
Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze Kwa masikitiko makubwa Kwa Taifa kufika hapa lilipo fika.
Hivi kama ni kweli Yale maoni ya G. Simbachawene ndio yamesababishwa atolewa nyadhifa yake , je! Ni nani Sasa ataweza kuja tena mbele ya vyombo vya habari na kuwa na mtazamo hasi.
Yani ni kwamba awamu hii RAIS ni Mungu kabisa na hakosei na hatakiwi hata pokea maoni tofauti.
JE, MNAJUA MADHARA YAKE?
Hali hii unaenda shuka katika taasisi na idara zote za Kiserikali, Wakuu wa Idara mbalimbali wanaenda adapt mfumo huu kwamba hakuna mtu wa kuwaza tofauti nao, hakuna wa kutoa maoni na hawapaswi kupingwa. Hii ni hatari kubwa.
MAANA YAKE NINI?
Tunaenda kuwa na Serikali ambayo mabosi hawaendi wajibishwa, wakiiba it'll be Ok, wasipofika kazini it'll be OK, wakila Rushwa it'll be ok as subordinates will have no power over them, even to advise them.
Hapo Sasa linaenda kutokea OMBWE la uwajibukaji, watumishi kuchukia kazi na wengine kuacha kazi kabisa.
USHAURI.
RAIS bado ana muda wa kuokoa hali hii. Aje mbele ya Wananchi atoe kauli, kwanini Simbachawene kastaafishwa na akiri kuwa mwenendo wake wa kutotaka kukosolewa utaenda ligharimu Taifa.
HATUWEZI KUWA NA TAIFA AMBALO VIONGOZI HAWAKO TAYARI POKEA MAONI TOFAUTI.
TUMEFIKAJE HAPA NDUGU ZANGU.?