ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma kuingilia uhuru wa mtu Mimi naona kavunja Sheria.
Roma ambaye anaishi Marekani kama mkimbizi, huku akipigania kupata green card Ili apare uraia na asirudi huku , amekuwa ni mtu wa kuropoka, Roma huyu ametelekeza mke wake na amewakabidhi Wana nzengo , huku yeye na me. Beneficial wakihangaika kutafuta uraia wa Marekani Kwa udi na uvumba.
Namuasa Roma aje , na awe na familia yake, tumechoka kumuhudumia mke wake