Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

Ona sasa wewe na Roma kitu kimoja mi sikuwa najua kama Mh Waziri ni chain smoker, umemwanika hadhara ya jf
Hata mimi niliamini jamaa alimaanisha tupendane na kuaminiana na haikuwa kweli kwamba anavuta sigara,sasa mtoa mada kathibitisha kuwa ni kweli anavuta 🙆🙆🙆 sasa mkosaji ni nani hapo?
 
Sijakuelewa mantiki yako inaegemea wapi katika haya...

1. Muziki mzuri.
2. Mkimbizi.
3. January Makamba.
5. Green card.
6. Wananzengo.
7. Familia inalelewa.
8. Anaropoka.

Utakuwa umetumwa au wivu tu!.
Kifupi, bwana ubarinolutu inaonyesha hampendi ROMA, ila hana hoja inayosapoti chuki zake kwa ROMA..!! Na ndiyo maana karopoka mambo mengi ambayo hata hayasapoti chuki zake kwa ROMA. KWani mtu akiwa mvuta sigara, wengine tukasema yule anavuta sigara, kuna ubaya gani???
 
Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma kuingilia uhuru wa mtu Mimi naona kavunja Sheria.

Roma ambaye anaishi Marekani kama mkimbizi, huku akipigania kupata green card Ili apare uraia na asirudi huku , amekuwa ni mtu wa kuropoka, Roma huyu ametelekeza mke wake na amewakabidhi Wana nzengo , huku yeye na me. Beneficial wakihangaika kutafuta uraia wa Marekani Kwa udi na uvumba.

Namuasa Roma aje , na awe na familia yake, tumechoka kumuhudumia mke wake
ukisikia wanaume kama mabinti ndo wewe
 
Back
Top Bottom