Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

Ushasema anaomba ukimbizi marekani, means hajatekeleza familia yake bali anafata sheria za maombi ya ukimbizi. Huwezi kusafiri kwenda nchi unayoikimbia, Kupata gc kupitia ukimbizi unaeza subiri hadi miaka 7
Ni 'hajatelekeza' siyo 'hajatekeleza'
 
Ukimbizi...greencard vimeingiaje na kulelewa wewe kuna kuhusu nini? Why wabongo mna akili za hovyo namna hii?
 
Mi nimeelewa kwa ugumu wa maisha mwezi January alafu unakuja kugongea sigara sio poa
 
Kitendo cha wewe kuanzisha huu uzi, ni kuendelea kuingilia uhuru wake.
Kuna watu hata hiyo nyimbo hawajaisikiliza, ama wengine hawajaisikiliza kwa makini.

Btw, hip pop ni kusema ukweli, kama mtu anavuta haibadilishi kwamba anavuta, na hajamsema kwa ubaya, labda utupe mfano mwingine wa sentence ambayo angeweza kuweka hapo!! Kwamba kugongea madem 🤔, nguo, gari ama nini.
Huyo kama msanii na mwenye information nyingi katumia hiyo, kwa mtazamo wangu ni sawa, nilikuwa sijui jamaa kama ni smoker..now I know...ila haibadilishi any view I had on him...nafahamu watu masmoker maprofesa, mapadri, wazazi, wafanyabiashara,..and they are good.
 
We ndio umenifumbua macho kipara anavuta fegi nilikuwa sijui, Roma msanii anafanya Sanaa kufikisha ujumbe na kuburudisha jamii, wasikilizaji ndio mnaokuja na tafsiri zenu kama Kipanya akichora.
 
Ukimchunhuza sana utaelewa maana yake na pia sigara anayoiongelea
 
Una matatizo ya akili ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…