Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

Ona sasa wewe na Roma kitu kimoja mi sikuwa najua kama Mh Waziri ni chain smoker, umemwanika hadhara ya jf
Hata mimi niliamini jamaa alimaanisha tupendane na kuaminiana na haikuwa kweli kwamba anavuta sigara,sasa mtoa mada kathibitisha kuwa ni kweli anavuta πŸ™†πŸ™†πŸ™† sasa mkosaji ni nani hapo?
 
Sijakuelewa mantiki yako inaegemea wapi katika haya...

1. Muziki mzuri.
2. Mkimbizi.
3. January Makamba.
5. Green card.
6. Wananzengo.
7. Familia inalelewa.
8. Anaropoka.

Utakuwa umetumwa au wivu tu!.
Kifupi, bwana ubarinolutu inaonyesha hampendi ROMA, ila hana hoja inayosapoti chuki zake kwa ROMA..!! Na ndiyo maana karopoka mambo mengi ambayo hata hayasapoti chuki zake kwa ROMA. KWani mtu akiwa mvuta sigara, wengine tukasema yule anavuta sigara, kuna ubaya gani???
 
ukisikia wanaume kama mabinti ndo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…