Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Hao wana ugomvi wao tu nyuma ya pazia rudi nyuma kipindi rc kavamia icho kipindi lemutuz alimtetea sana sasa wanachokifanya kma walikuw wanamsubir ateleze.
But kusema kipindi kinaharibu maadili ya watoto huku kipind kinaanza cjui saa tano hao watot watakuw hawana tu uangalizi mzur lkn vip kuhusu ile nyimbo ya kina roma au kioind ndo kimechochea sana
 
Mwenye tatizo in aliejipiga picha na kuisambaza[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Le super star ,king of all social media,Tshirt lake linatosha kufunikia passo
 
Unawaruhusu wanao kuangalia shilawadu ....una matatizo
 
Acha stress wewe, kipindi kina kosa gani. Ni cha gossip. Yale yanayotrend mjn ndo yanayopatikana. Unaona hakiinufaishi jamii tengeneza chako kitakachoinufaisha jamii.
 
Kwann akubali kurekodiwa, wampeleke jela kwanza yeye.
 
Tcra unawaita wa nn?? Kwani wamemtaja?
 
Tcra unawaita wa nn?? Kwani wamemtaja?
Mkuu,,,umepitia page yao ya insta hao shilawadu ?? ,wameweka na picha ya le baharia kabisa na kuandika kuhusu kibamiaa,,na kwa picha nilioona ya kipindi chao huko insta wamevaa bamia kwann tcra wasi connect dots ? ,,,tayari kumuongelea insta kuhusu bamia ni kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…