Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Hii Silikali inashughukika na CHADEMA tu haya mengine hayana umuhimu hasa ikiwa chombo chenyewe ni bebeo lao.
 
nimeangalia kipindi chote sijaona popote Shilawadu walipotoa ufafanuzi juu ya neno kibamia.


Le super kibamia anavuna alichopanda, huwezi kupanda kibamia ukategemea kuvuna tango.
Kwa iyo waliovaa bamia kwa sababu gani!
 
Ni sahihi kabisa, huu upuuzi unapaswa kulaaniwa tena kwa sauti kubwa kabisa. Halafu watu hawa hawa wakichukuliwa hatua na TCRA wanakuwa wa kwanza kulalamika na kutafuta huruma ya jamii. Midomo yao mikubwa inapaswa kujua kuchuja mambo ya kuongea na kuonesha mbele ya hadhira. TCRA chukueni hatua, tupo pamoja nanyi kwa hili.
 
naomba waziri muhusika awachukulie hatu kali iwe fundisho kwa wote
Kwani asee, hata kama ni kweli, huyo ni matumizi mabaya ya tv, kumdhalilisha mtu ambaye hana tv ya kukudhalilisha pia.
 
Yani visit hana vijavyo vitaendelea mi tango ya hatari.
Vipindi ka ivo visipokemewa, kuna siku wataanzisha maonyesho ya vibamia.
 
Suala la maadili katika vyombo vya habari linapaswa kuangaliwa kwa ukaribu na hawa TCRA.
 
mtu mzima unakaa unaangalia kipindi cha upuuzi tu

mtu mzima na familia yako unasoma magazeti ya udaku

mtu mzima unafatilia umbea (shilawadu) mmomonyoko wa maadili umeanzi kwako.

sijawahi angalia icho kipindi, ila napofanya kibaru huwa nawashangaa watu wazima kuulizana umeangalia shilawadu ya jana. yaani ni upumbavu mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…