Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashtaki kwa niaba yake, Le Kibamiaz mkubwa wewe. Yeye ameenea matusi mwili mzima acha apate alichopanda.What is happenings is cyber bullying. Namshauri victim akashitaki
nimeangalia kipindi chote sijaona popote Shilawadu walipotoa ufafanuzi juu ya neno kibamia.
Le super kibamia anavuna alichopanda, huwezi kupanda kibamia ukategemea kuvuna tango.
Ingekuwa inahusu uchaguzi ambao unalalamikiwa na UKAWA hatua zingechukuliwa, swala la maadili sio kipaumbele kwa sasa.TCRA wameacha kazi yao ya msingi sasa wanajigeuza na kuwa TRA. Very bad
Mkuu sio wanangu, ila mi nimekua vitoto vikifafanuliana bamia.Unawaruhusu wanao kuangalia shilawadu ....una matatizo
Kwa iyo waliovaa bamia kwa sababu gani!nimeangalia kipindi chote sijaona popote Shilawadu walipotoa ufafanuzi juu ya neno kibamia.
Le super kibamia anavuna alichopanda, huwezi kupanda kibamia ukategemea kuvuna tango.
Kwani kina viewers discretion!?Kwa nini unaangalia hicho kipindi na watoto?
Mkuu natumia simu, sijui kuattach kwa kutumia simu.Pandisha picha Mkuu!!
Kwani asee, hata kama ni kweli, huyo ni matumizi mabaya ya tv, kumdhalilisha mtu ambaye hana tv ya kukudhalilisha pia.naomba waziri muhusika awachukulie hatu kali iwe fundisho kwa wote
Yani visit hana vijavyo vitaendelea mi tango ya hatari.Hivi kwa maisha tuliyonayo sisi Watanzania mnategemea hao wanahabari uchwara wafanye kitu cha maana kwa jamii yetu?
Kwanza kile kitendo tu cha ofisi ya serikali kukubali kipindi kama Shilawadu kiwepo ni kosa kubwa sana. Kitendo cha wamiliki wa kituo kukubali kipindi kile kirushwe na chombo chao ni kosa kubwa sana.
Leo tunazungumza maadili gani wakati kuwepo kwa kipindi tu tumevunja maadili?
Wa kulaumiwa ni le super kokobang...kwanini anakibamia???
King of all vibamia social networks.
Watu na vibamia vyao.
Watu na vibamia vyao.