MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King of all Bongo Vibamia
Wanaume wenye vitambi tuandame kupinga udhalilishaji wa Mange kwetu. Jana nimepita mahali na Likitambi langu mtu akanambia wewe kakaake Lemutuz kwema.
Usijali wewe tafuta pesa tu!Wanaume wenye vitambi tuandame kupinga udhalilishaji wa Mange kwetu. Jana nimepita mahali na Likitambi langu mtu akanambia wewe kakaake Lemutuz kwema.
TrueWatoto wakikuuliza kibamia ni nini waambie ni mboga, kama kipo kwenye friji kichukue uwaoneshe.
Hahahhahahha lohhh umenivunja mbavu zangu lohhh!King of all vibamia social networks.
Waambie TCRA wachukue fursa hii vizuri ili waendelee kuongeza mapato ya serikali kama kawaida.Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
LEO nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
Akamshitaki mange swahiba wake.What is happenings is cyber bullying. Namshauri victim akashitaki
Tatizo linaanza kwetu wazazi.haiwezekani unakaa sebleni mpaka saa sita usiku mnaangalia Shilawadu na watoto.mzaz anayejitambua huwez muacha mtoto wako aangalie shilawadu.muache aangalie akili akili. Kiba 100 haah haaahKitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
LEO nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
Amesema yeye Yuko a town
Ivi shonza hajaona
Bwana yule alisema anakifuatiliaga....ila kiukweli hata muda wa kuangalia hicho kipindi badala ya serious programs mtu unatoa wapi??..ila hapo hata wazazi walaumiwe muda kama ule mtoto anafanyanini kwa TV??naungana na wewe! vipindi vingi sasa hivi vya TV vimeanza kukosa maadili, kama mamlaka husika haitochukua hatua zitasababisha mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa! jana nilijiuliza maswali mengi sana
1. Je kama mtu unaangalia kile kipindi na familia yako halafu mtoto mdogo akauliza kibamia ni nini? au kwanini wamevaa bamia?
2. Pili najiuliza tu je Kuwa na maumbile madogo ni hali ambayo mtu anajitakia au ni sababu za kimaumbile tu? kimtizamo wangu hii hali inatokana na maumbile ya mtu, na haipaswi kuchukuliwa kimzaa hivi! kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa kama mwingine hauhitaji fufanyiwa mzaha kiasi hiki!
3. je hivi vituo vya luninga wanafanya uhakiki wa vipindi kabla havijarushwa hewani?
wewe kwanini unaangalia vipindi visivyo na maadili ukiwa na watoto wakoKitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
LEO nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
Kivip mkuu? Hivi nyimbo za "kibamia" na "mwanaume mashine" zilivyotoka zilikua zinatoa ujumbe gani kwa jamii? Wahusika walichukua hatua? Tafuta majibu ya hayo maswali ndio utoe pumba zako hapa.Kama ukiwasilisha hoja hii kwenye Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) naamini watalifanyia kazi