Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Wanaume wenye vitambi tuandame kupinga udhalilishaji wa Mange kwetu. Jana nimepita mahali na Likitambi langu mtu akanambia wewe kakaake Lemutuz kwema.

Tena muandamane wiki nzima mfululizo mpaka mavitambi yaishe, shubamiti.. Mi niko nacho cha kuvalia shati wala hakikeri, nikiwa nimevaa nguo hakionekani labda mpaka niwe bila nguo
 
Wanaume wenye vitambi tuandame kupinga udhalilishaji wa Mange kwetu. Jana nimepita mahali na Likitambi langu mtu akanambia wewe kakaake Lemutuz kwema.
Usijali wewe tafuta pesa tu!
Watakuja unaowataka wewe
Pesa sabuni ya roho!
 
Si tu hvo,,mimi kilichoniboa,japo sijaangalia but wame mdhalilisha le mutuz,kuanzia kweny page yao mpka huko kwny tv,media kama ile hawakupaswa kushabikia udhalilishaji ule,,japo le baharia ameyataka mwenyewe ila ubinadamu lazima ungetumika,,,TCRA wapo wapi ?
 
Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
LEO nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
Waambie TCRA wachukue fursa hii vizuri ili waendelee kuongeza mapato ya serikali kama kawaida.
 
Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
LEO nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
Tatizo linaanza kwetu wazazi.haiwezekani unakaa sebleni mpaka saa sita usiku mnaangalia Shilawadu na watoto.mzaz anayejitambua huwez muacha mtoto wako aangalie shilawadu.muache aangalie akili akili. Kiba 100 haah haaah
 
naungana na wewe! vipindi vingi sasa hivi vya TV vimeanza kukosa maadili, kama mamlaka husika haitochukua hatua zitasababisha mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa! jana nilijiuliza maswali mengi sana

1. Je kama mtu unaangalia kile kipindi na familia yako halafu mtoto mdogo akauliza kibamia ni nini? au kwanini wamevaa bamia?

2. Pili najiuliza tu je Kuwa na maumbile madogo ni hali ambayo mtu anajitakia au ni sababu za kimaumbile tu? kimtizamo wangu hii hali inatokana na maumbile ya mtu, na haipaswi kuchukuliwa kimzaa hivi! kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa kama mwingine hauhitaji fufanyiwa mzaha kiasi hiki!

3. je hivi vituo vya luninga wanafanya uhakiki wa vipindi kabla havijarushwa hewani?
Bwana yule alisema anakifuatiliaga....ila kiukweli hata muda wa kuangalia hicho kipindi badala ya serious programs mtu unatoa wapi??..ila hapo hata wazazi walaumiwe muda kama ule mtoto anafanyanini kwa TV??
 
Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
LEO nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
wewe kwanini unaangalia vipindi visivyo na maadili ukiwa na watoto wako
 
Wenye vibamia wenyewe hatujalalamika wewe nini kinakukera?
 
Back
Top Bottom