Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Mwambie Tundu kwenye mkutano ujao aje na cheti cha darasa la saba.. Najua hana.. Labda aende kufoji.Kwa Tundu lissu wanaenda kusikiliza hoja, CCM wanajaza viwanja kwa kuwapelekea show ya bure ya kuona wasanii.
Lissu hana msanii na anajaza viwanja kama nye ,je nye mgezunguka bila msanii halafu lissu azunguke na kina diamond nani angeenda kwenye mkutano wa CCM?
Lissu yuko peke yake ,CCM wasanii karibia 30 mkutano moja lakini watu sawa na lissu ,bado siku ya mkutano wanafunzi mnawatoa madarasani wajaze uwanja na kubeba watu kwa malori