Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kama hapa anasema treni ya mpanda ilishakufa kumbe ipoWatu wanakwenda kwenye mikutano ya TundA Lisu kupoteza muda na kutizama Futuhi!
TundA ana vichekesho sana... Eti anawahutubia wakulima kuhusu tozo za mazao na wakati Magufuli alishazifuta tangu zamani za kale!