Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Mkuu umekuwa mwaminifu kwa ahadi uliyoahidi kishuhudia...barikiwaLeo nilienda kuthibitisha hoja aliyopaswa aitoe Polepole(ajabu ikatolewa na mwenye mamlaka zaidi ya uenezaji propaganda) kuwa picha za upinzani ni za mwaka 2015, leo nimejuwa kuwa ni halisi.
Hiyo nyomi ya Geita, hata ile ya Lowasa 2015 haiingii. Vibe lote.
Kweli uchaguzi ukiwa huru, mjenga barabara anaweza kwenda kujenga ya kijijini kwake tu.