Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Mwambie Tundu kwenye mkutano ujao aje na cheti cha darasa la saba.. Najua hana.. Labda aende kufoji.Kwa Tundu lissu wanaenda kusikiliza hoja, CCM wanajaza viwanja kwa kuwapelekea show ya bure ya kuona wasanii.
Lissu hana msanii na anajaza viwanja kama nye ,je nye mgezunguka bila msanii halafu lissu azunguke na kina diamond nani angeenda kwenye mkutano wa CCM?
Lissu yuko peke yake ,CCM wasanii karibia 30 mkutano moja lakini watu sawa na lissu ,bado siku ya mkutano wanafunzi mnawatoa madarasani wajaze uwanja na kubeba watu kwa malori
Kama imezidi tani moja lazima ukamuliwe tozo kwa kila uzito unaozidi.. Kama una mzigo wa tani kumi, inabidi ulipie tozo tani tisa huku ile tani moja ikiwa ni exempted! Kinyume na hapo, watoza tozo hawafuati instruction.Thubutu nenda kagera ukasikie habari za Tozo.
Ni kuweweseka. Unajua Magufuli alikuwa hajaingia kwenye siasa za hoja kulikuwa hakuna mtu yeyote aliyethubutu kumkosoa. Akajidanganya na kujiona anapendeka sana. Sasa ajabu moja ni kuwa hata kwenye ''ngome'' yake ameona wanampuuza.Hizi ni picha za 1620 by JPM
Hiyo hoja tulishafunga ,tukihoji PHD feki za kukamua korosho msitutekeMwambie TundA kwenye mkutano ujao aje na cheti cha darasa la saba.. Najua hana.. Labda aende kufoji.
Ndiyo mnavyojipa matumaini na kumdanganya bwana mkubwa wenu siyo. Anyway hata Sadam dakika za mwisho kuna mtu alikuwa anaitwa comical Ali alikuwa anampa moyo.Anakubalika kwa percentage ngap?
Fuatilia statistics zilizotolewa na IPSOS juu ya wingi wa watu waliohudhuria kwenye vikao vya Kampeni vya CDM na CCM kanda ya ziwa hasa Mwanza.
Ni asilimia 90% kwa CCM na 10% kwa CDM. Ww huko kukubalika kwako umepima kwa metric gani?
Kama hauna data hauna haki ya kuzungumza.!
Huna loloteMimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!
Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!
Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!
Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
Kwa mujibu wa Lissu , kutangaza matokeo yoyote kinyume na kura halali huo ndio utakuwa mwisho wa Tanzania , madikteta wote walioondolewa , kupinduliwa ama kukamatwa walikuwa na wapambe njaa kama weweSitaki kukuharibia siku, kwa taarifa tuu, Kuna association moja inafanya kazi overdrive. Mpaka 28th October, 2020 usishangae kwa matokeo yeyote.
Ndiyo mnavyojipa matumaini na kumdanganya bwana mkubwa wenu siyo. Anyway hata Sadam dakika za mwisho kuna mtu alikuwa anaitwa comical Ali alikuwa anampa moyo.
Umesema kweli kabisa. Niko na jamaa moja hapa kaja kunifanyia kazi toka Mbeya anasema huko ni JPM tu hakuna cha Lisu.Mimi naomba tarehe 29 na 30 mwezi ujao muwepo humu! Nina kuhakikishia hapa hakuna mkoa wowote wala jimbo lolote ambalo Lissu atashinda kwa ujumla wa Kura dhidi ya Magufuli tena uko kanda ya Ziwa ndio usiseme kabisa!
Mimi naomba usije ukalimbia jukwaa!
Kamwe Lissu awezi mshinda Magufuli kwenye jimbo lolote wala mkoa wowote hapa Tanzania!
Najua sasa hivi utonielewa lakini tarehe 30 utanielewa! Kamwe Kamwe tena uko kanda ya Ziwa Lissu hatoweza kupanda ushindi hata ule unao mkaribia Magufuli hata chembe!
Naomba tuombe Mungu atuweke hai hadi tarehe 28 hakika tutaona na tutarudi hapa kusimuliana!
hiyo hoja tulishafunga ,tukihoji PHD feki za kukamua korosho msituteke
Hizi ni picha za 1620 by JPM