Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kusimama barabarani kusalimia wananchi akiwa njiani kwenda Shinyanga siyo kampeni za mapema?

afadhali umetujuza tulikuwa hata hatujui kama ameshafika huko maeneo,endelea kufuatilia msafara na hotuba za Lisu, alipo uwepo
 
bwashee una mabidii ya kuandika na huchoki

nn siri ya mafanikio yako...tofauti na buku7 ya thread
 
Umeambiwa anatembea kusaka wadhamini, sasa wadhamini hao ni miti au ni binadamu? Wadhamini ni watu kwanini asisalimiane nao? Pia kusema wamesukumwa kwenda kumsalimia huo ni upotoshaji uliopitiliza! Mnapaswa kutambua kuwa Mwenyekiti wenu alishalikoroga tangu alipozui wapinzani kufanya siasa , sasa matokeo yake wananchi sasa hivi wana hamu na shauku kubwa sana ya kuwaona na kusikiliza sera madhubuti za wapinzani, hiyo ndio siri umati mkubwa utakaoendelea kujitokeza hata wakati wa kampeni!...Subirini hiyo ni trela muziki wenyewe bado!
 
Hivi kweli lisu ana uwezo wa kusukumiza watu kwenda barabarani? Au wamejisukumiza wenyewe tu?!!!
 
Na huyo anko wenu anaposimama kujipatia jogoo wa mlalahoi hii sio kampeni?
 
Aliyewasukumia barabarani ni nani ?
Ni Kule zanzibar nadhani ndipo watumishi wa umma walisukumizwa kumpokea rais mteule na walitishwa kwenda kusainia daftari la mahudhurio barabarani wakivaa nguo za kijani au njano.
Vichwa vyenu viwe na kumbukumbu
 
jpm labda kura za mezani kutoka kwa Kaijage semistocles, wananchi wote hadi wana ccm watampigia kura Lisu kimya kimya ISIPOKUWA WEWE
 
Mmezidi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…