Mh bwashee huwa huna kawaida ya matusi, sasa vinatoka wapi. Ni kubadirishana vijiti, mwache Jiwe apumzike rafiki! usipanicHahahaaaa....... Pumbavu wewe mwenyewe bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh bwashee huwa huna kawaida ya matusi, sasa vinatoka wapi. Ni kubadirishana vijiti, mwache Jiwe apumzike rafiki! usipanicHahahaaaa....... Pumbavu wewe mwenyewe bwashee!
Hahahaaaa...... nimemuona anatafuna karanga!Hajala mahindi?
"Munataka mupapanuliwe wapi" Anaongea huku anapaliwa mahindi 😂 😂 😂
afadhali umetujuza tulikuwa hata hatujui kama ameshafika huko maeneo,endelea kufuatilia msafara na hotuba za Lisu, alipo uwepoMsafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Hahahaaaa......nimekuelewa bwashee!Jamani msizuie watu kushangaa kama NI YEYE kweli?
Nipo bwashee...... Siasa siyo uadui!afadhali umetujuza tulikuwa hata hatujui kama ameshafika huko maeneo,endelea kufuatilia msafara na hotuba za Lisu, alipo uwepo
Kuna dalili kuwa mgonjwa atapewa kura zaidi ya 15 milion za huruma.Mgojwa alisalimiwa
Subiri 25/08/2020 kama hujajiharishia!
Hivi kweli lisu ana uwezo wa kusukumiza watu kwenda barabarani? Au wamejisukumiza wenyewe tu?!!!Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Ni Kule zanzibar nadhani ndipo watumishi wa umma walisukumizwa kumpokea rais mteule na walitishwa kwenda kusainia daftari la mahudhurio barabarani wakivaa nguo za kijani au njano.Aliyewasukumia barabarani ni nani ?
jpm labda kura za mezani kutoka kwa Kaijage semistocles, wananchi wote hadi wana ccm watampigia kura Lisu kimya kimya ISIPOKUWA WEWEMimi sio mshabiki wa TL kabisaaa ila kama watu wanajitokeza awasalimie tu, hata kama wanampa hela ,pole ya risasi huyu ni MTz wenzetu.
Nampendea ujasiri wa kusema hata kama hayana maana , akijua mazuri atayasema pia.
Kura kwa JPM. TL labda awe tu jaji mahakama zetu.
Hata TL ahamasishe kura apewe jpm. Ni hayo tu
Mmezidi sasaMsafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba mji wote umesukumiziwa barabarani kumsalimia Lisu.
Ndiposa nauliza huu siyo uvunjifu wa kanuni wa kuanza kampeni mapema?
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
halafu huyo wakusukumiza mji wote ana jeshi au polisi au ni u-penzi wao wenyewe?"Mji wote umesukumizwa barabarani" aisee hiki ni kichekesho cha karne.
Mbona hata Upinzani wapo wengi Watapiga kwa Jpm kisirisiri, isipokuwa wewe tu.jpm labda kura za mezani kutoka kwa Kaijage semistocles, wananchi wote hadi wana ccm watampigia kura Lisu kimya kimya ISIPOKUWA WEWE