Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kusimama barabarani kusalimia wananchi akiwa njiani kwenda Shinyanga siyo kampeni za mapema?

Wewe ulitakaje?
Asisalimie watu?
Acheni wivu.
Lissu anapendwa na watu.

Jana Membe na Maalim Seif wameisimamisha Zanzibar na mji nzima ulikuwa barabara kuwasalimia, hukuja hapa kusema hayo.
Kwa sasa hivi adui mkubwa kwa mujibu wa lumumba ni mh Lissu
 
Alikuwa anagawa na rushwa? Waliosukumizwa hawajaumia? Jeshi la polisi linasemaje? Jo unazidi kuwa mjinga kadiri siku zinavyosogea

Jr[emoji769]
 
Mbona Mtu yule aki simama barabarani husemi?
 
Anatafuta wadhamini atazunguka nchi nzima
 
Mbona magu alisimama akala hadi mahindi hilo nyie hamlioni?
 
Idiot on fleek.
 
Kama hii ni kanuni basi babako atakuwa wa kwanza kukatwa!! Tena anazo kesi mbili hii na ile ya rushwa akiwa tayari ni mgombea wa CCM alipokea na kutoa rushwa!!...uzuri clip zipo!!
 
kuna mgombea mmoja hivi akiwa huko mabarabarani aligawa 5M, akakata laki 1 na akatoa ahadi ya 100M. hivi ni nani huyo tena?

kama umesahau basi acha tu... tutamuuliza Lissu maana jamaa kwa kuweka rikodi hajambo!
😀😀
 
Kama hii ni kanuni basi babako atakuwa wa kwanza kukatwa!! Tena anazo kesi mbili hii na ile ya rushwa akiwa tayari ni mgombea wa CCM alipokea na kutoa rushwa!!...uzuri clip zipo!!
Bwashee hilo ndio jibu?!
 
Hawa ndio mnao wataka
Your browser is not able to display this video.


Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kwani amepewa kuku?
 
Mtanyooka mwaka huu, mtakula mahindi ya kuchoma dumila na bado you will Wet your pants profusely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…