Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwa sasa hivi adui mkubwa kwa mujibu wa lumumba ni mh LissuWewe ulitakaje?
Asisalimie watu?
Acheni wivu.
Lissu anapendwa na watu.
Jana Membe na Maalim Seif wameisimamisha Zanzibar na mji nzima ulikuwa barabara kuwasalimia, hukuja hapa kusema hayo.