Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

kosa lake alipewa hela na akapendelea azam
Kama ushahidi upo kwamba alipokea hela lazima naye atapata kipande chake, lakini kama ni tetesi tu zitabakia kuwa tetesi tu mpaka zitakapothibitishwa, jamani twende mbele turudi nyuma; kabla ya mechi ya jmosi Azam alishawafunga Yanga mechi tatu hizo nazo walitoa hela? Lawama zipelekeni kwa viongozi na wachezaji kwa kulishana sumu na kufanya matendo yasio kuwa ya kianamichezo, mie nlikuwepo uwanjani kadi zote hizo Niyonzima alistahili, nakumbuka kuna mechi ya Simba na Yanga Mrwanda alipata red mazingira kama yale ya aliyopata red Niyonzima, kwa hiyo mimi nasema bado Niyonzima alistahili alichopata ndo maana kwa kutambua hivyo kawaomba radhi wanachama, washabiki wa Yanga na wapenzi wa mpira kwa ujumla na kama ameonewa kwa nini aombe radhi?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Safi sana! na iwe fundisho kwa wenzao wenye tabia chafu kama hiyo!.
....
 
Tutegee msimu huu ubingwa uende Simba or Azam!
Mkuu Yanga bado wana nafasi, Yanga wamesajili wachezaji zaidi ya 25, hivyo kufungiwa hao watano pamoja na kwamba ni wa kikosi cha kwanza lakini bado waliopo wanaweza kuonyesha upinzani na hadi kuchukua ubingwa.
 
Naona hadi Member wa Jamii Forum wamekuwa na mandate ya ku'top-up adhabu za wachezaji wa Yanga,haya Wakuu,nyie tu hata mkisema wasicheze Muongo mmoja(Miaka 10) Yanga itabaki kuwa Yanga na ubingwa tutachukua kwa style kama mwaka jana tu.
 
kosa lake alipewa hela na akapendelea azam
Kama ushahidi upo kwamba alipokea hela lazima naye atapata kipande chake, lakini kama ni tetesi tu zitabakia kuwa tetesi tu mpaka zitakapothibitishwa, jamani twende mbele turudi nyuma; kabla ya mechi ya jmosi Azam alishawafunga Yanga mechi tatu hizo nazo walitoa hela? Lawama zipelekeni kwa viongozi na wachezaji kwa kulishana sumu na kufanya matendo yasio kuwa ya kianamichezo, mie nlikuwepo uwanjani kadi zote hizo Niyonzima alistahili, nakumbuka kuna mechi ya Simba na Yanga Mrwanda alipata red mazingira kama yale ya aliyopata red Niyonzima, kwa hiyo mimi nasema bado Niyonzima alistahili alichopata ndo maana kwa kutambua hivyo kawaomba radhi wanachama, washabiki wa Yanga na wapenzi wa mpira kwa ujumla na kama ameonewa kwa nini aombe radhi?
 
Mchezaji wa yanga jerson Tegete ameongezewa adhabu kutoka mechi 6,mpaka miezi 6,kutokana na kitendo chake cha kuingia uwanjani kwenye vurugu wakati alikua benchi

Hii adhabu ya kionevu sana
 
Au?!!.......hiyo ni definately,wacha watie na miguu kabisa wacha mkono soka litaendelea kuchezwa kama kawaida.
 
Vyama vyangu bwana !! Juzi Yanga walilianzisha na jana Van Perse naye akataka kulianzisha.sijajua upepo uliovuma uwanja wa Taifa ndo ulitua Emireti jana au ?
 
Ndio taasisi tuliyonayo kisheria inayoshughulikia rushwa, swala la ufanisi mimi siwezi kujua, wewe huwezi kusikia tu mtaani huyu kafanya vile na wewe unaamini hadi unaacha kufikiri, wale ni kwa tanzania ni wachezaji wakubwa hawakupaswa kuchukua maamuzi waliyoyafanya, kumpiga mwamuzi ni kosa, Mputu alifanya kama hayo kwenye kombe la kagame alifungiwa, wachezaji lazima wajifunze na wawe na lazima wabebe mzigo kwa vitendo vyao.

Sasa kama unatambua kwamba takukuru hawana ufanisi wowote katika kupambana na rushwa, unaposhauri huyo mwenye ushahidi aupeleke takukuru ili iweje? labda kama wewe ni mgeni katika soka la bongo, rushwa sio habari mpya kabisa imekuwa ni sehemu ya maisha ya mpira wa tanzania.

Waamuzi wetu wengi kama si wote kutokana na kuwa na viwango vya chini sana katika kumudu soka na kutafsiri sheria, wamekuwa hawaaminiwi na vyombo vikubwa vya soka kama CAF na FIFA. Sasa badala ya kuangalia upande mmoja wa shilingi, tujaribu kuangalia udhaifu huo na kuurekebisha ili kwa ujumla wake kiwango cha mpira wa nchi hii kiweze kupanda.
 
Wanyongwe au?
Sio kunyongwa mkuu, unakumbuka TID yule mwanamziki alimpiga mtu akahukumiwa jela mwaka mmoja, ile ilikuwa ni kesi ya jinai, kumpiga mtu ni kosa la jinai; TFF wamemaliza sehemu hivyo polisi inabidi wapeleke kesi mahakamani ili haki itendeke, nchi hii inaongozwa kwa sheria na kumpiga mtu ni criminal offence.
 
Kama azam nao wameanza kuhonga basi hawana lolote
 
Nidhamu ina umuhimu kwa pande zote,hata refa ilibidi a'practise nidhamu katika maamuzi yake,haya mambo yanabidi kufanyiwa kazi kwa umakini mkubwa otherwise watu watachoka kama walivyochoka wachezaji wa Yanga juzi na yatatokea maafa makubwa zaidi.
 
...., kwa tanzania ni wachezaji wakubwa hawakupaswa kuchukua maamuzi waliyoyafanya, kumpiga mwamuzi ni kosa, Mputu alifanya kama hayo kwenye kombe la kagame alifungiwa, wachezaji lazima wajifunze....
Tena alifungiwa na FIFA mwaka mmoja.
 
Kama ushahidi upo kwamba alipokea hela lazima naye atapata kipande chake, lakini kama ni tetesi tu zitabakia kuwa tetesi tu mpaka zitakapothibitishwa, jamani twende mbele turudi nyuma; kabla ya mechi ya jmosi Azam alishawafunga Yanga mechi tatu hizo nazo walitoa hela? Lawama zipelekeni kwa viongozi na wachezaji kwa kulishana sumu na kufanya matendo yasio kuwa ya kianamichezo, mie nlikuwepo uwanjani kadi zote hizo Niyonzima alistahili, nakumbuka kuna mechi ya Simba na Yanga Mrwanda alipata red mazingira kama yale ya aliyopata red Niyonzima, kwa hiyo mimi nasema bado Niyonzima alistahili alichopata ndo maana kwa kutambua hivyo kawaomba radhi wanachama, washabiki wa Yanga na wapenzi wa mpira kwa ujumla na kama ameonewa kwa nini aombe radhi?

Azam kumfunga yanga mara tatu mfululizo si guarantee ya kuuendelea kuifunga kila siku, kwani kabla hawajaanza kushusha kipigo kwa yanga nao walikuwa wanapokea vipigo mfululizo toka kwa yanga.

Kitu muhimu hapa ni kuangalia nidhamu ya wachezaji, nidhamu ya waamuzi na nidhamu ya viongozi wa soka (tff na vilabu).

Niyonzima kuomba radhi si kwamba amekiri kupata kadi kihalali bali ni kuonyesha kujutia kutolewa uwanjani na kusababisha timu yake ifungwe, na hiyo ni kawaida wa wachezaji wa kulipwa na wanaojitambua, kitu ambacho huwezi kukiona kwa hawa wavuta bangi wetu wa kibongo.
 
Sasa kama unatambua kwamba takukuru hawana ufanisi wowote katika kupambana na rushwa, unaposhauri huyo mwenye ushahidi aupeleke takukuru ili iweje? labda kama wewe ni mgeni katika soka la bongo, rushwa sio habari mpya kabisa imekuwa ni sehemu ya maisha ya mpira wa tanzania.

Waamuzi wetu wengi kama si wote kutokana na kuwa na viwango vya chini sana katika kumudu soka na kutafsiri sheria, wamekuwa hawaaminiwi na vyombo vikubwa vya soka kama CAF na FIFA. Sasa badala ya kuangalia upande mmoja wa shilingi, tujaribu kuangalia udhaifu huo na kuurekebisha ili kwa ujumla wake kiwango cha mpira wa nchi hii kiweze kupanda.
Mkuu ufanisi mbovu wa Takukuru mbadala wake sio wachezaji kumpiga refa, hiyo mimi napinga hata kama ingekuwa ni timu yangu ya Simba ndo wamefanya huo upuuzi bado ningepinga na ningeunga mkono adhabu ambayo wangepata, Tanzania kila taasisi inalalamikiwa kwa hiyo badala yake iwe ni kutwangana tu; jamani acheni kuwatetea wachezaji waliofanya hivyo vitendo, wamevuna walichopanda.
 
Naona hadi Member wa Jamii Forum wamekuwa na mandate ya ku'top-up adhabu za wachezaji wa Yanga,haya Wakuu,nyie tu hata mkisema wasicheze Muongo mmoja(Miaka 10) Yanga itabaki kuwa Yanga na ubingwa tutachukua kwa style kama mwaka jana tu.

hapana mi mwenyewe naipenda yanga lkn nashangaa kwanin 2nafanyiwa hv? ila ni mpango kabambe kati ya simba+azam
 
Azam kumfunga yanga mara tatu mfululizo si guarantee ya kuuendelea kuifunga kila siku, kwani kabla hawajaanza kushusha kipigo kwa yanga nao walikuwa wanapokea vipigo mfululizo toka kwa yanga.

Kitu muhimu hapa ni kuangalia nidhamu ya wachezaji, nidhamu ya waamuzi na nidhamu ya viongozi wa soka (tff na vilabu).

Niyonzima kuomba radhi si kwamba amekiri kupata kadi kihalali bali ni kuonyesha kujutia kutolewa uwanjani na kusababisha timu yake ifungwe, na hiyo ni kawaida wa wachezaji wa kulipwa na wanaojitambua, kitu ambacho huwezi kukiona kwa hawa wavuta bangi wetu wa kibongo.
Kwa hiyo wakati Yanga wanawafunga Azam nao walikuwa wanatoa hela, hapo ni wakati wa Manji, kibao kimegeuka mkajua mpango ni ule ule.

Na kuhusu Niyonzima kama kaonewa kwa nini aombe radhi, anajikosha tu anajua alichofanya ni kosa, gesture yoyote ni yellow kadi.

Kuhusu nidhamu naunga mkono, nidhamu ni kitu cha maana sana kwa wanadamu, kwenye nidhamu kuna ustaarabu na kuheshimiana. Lakini mambo ya Ndondi na soka wapi na wapi?
 
Refa wangemshika Ma**lio ili aone kuwa kuhongwa si Ishu kwa mtoto wa Kiume
 
Back
Top Bottom