Kitenge ana miaka 27 kazini lakini yupo darasani kutafuta ithibati

Kitenge ana miaka 27 kazini lakini yupo darasani kutafuta ithibati

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
 
Inabidi arudie mtihani wa darasa la 7 ili afaulu kwanza kwenda Olevel alafu atafute D 4 aende akaanze kusoma Certificate kisha Dip

Nampongeza yeye ni mfano wa kuigwa kwa watu wanataka kukata tamaa , unaweza kuanza kusoma bado muda upo.
 
Back
Top Bottom