Kitenge ana miaka 27 kazini lakini yupo darasani kutafuta ithibati

Kitenge ana miaka 27 kazini lakini yupo darasani kutafuta ithibati

Na mimo ndio nilikuwa najiuliza. Kama form IV alipata D nne za kujiunga na vyuo vya kati hapo sawa.

Au hiyo bodi yenyewe ndio inaendeaha mafunzo na hawangalii vyeti vya form IV kwa wakongwe?

Kama wanatakiwa waende vyuo vya kati, wengi watakwama kwa sababu ya D nne za O'level. Ku-resit si mchezo, huko hakuna ubabaishaji
Mkuu are you serious?
 
Kigezo cha elimu, ni system ambayo inapunguza watu kwenye kugombea ajira.
 
Back
Top Bottom