Kitenge ana miaka 27 kazini lakini yupo darasani kutafuta ithibati

Kitenge ana miaka 27 kazini lakini yupo darasani kutafuta ithibati

Hawa wassenge ndiyo walikuwa wakiwakejeli vijana wanaohitimu vyuo kuwa hawana maarifa ya kutafuta maisha.

Kumbe hata certificate ni ya kuungaunga.

kuhitimu chuo haimaanishi kuwa ndio umeshakuwa bora, huyo jamaa atanunua tu vyeti na ataruei ulingoni
 
Kungekuwa na bodi ya ithibati ya Urais...ngoja nisimalizie😄🐼
 
Alidhani keshajipata😂 sasa akirudi atakuwa keshaelimika
Sio Kila anayesoma lazima afaulu. Mtaani unakuta watu Wana ku pump nenda shule je! Ubongo wa ku load material na kungamua maswali ya mtego kwenye mtihani upo? Tafiti wenye mdomo wa kuongea saaana mpe mtihani ndio uone vituko
 
Sio Kila anayesoma lazima afaulu. Mtaani unakuta watu Wana ku pump nenda shule je! Ubongo wa ku load material na kungamua maswali ya mtego kwenye mtihani upo? Tafiti wenye mdomo wa kuongea saaana mpe mtihani ndio uone vituko
Noo shida siyo shule,shida uko tunaenda kusoma nini kulingana na vipawa vyetu.Saikolojia unasema wazi kila Mtu ana Potential yake shida ni namna gani tunazigundua,kuziendeleza na kuzitumia.Leo hii asilimia kubwa ya Watu tunaokutana nao Maofisini,Utaftaji hawafanyii kazi Ambition zao walizokuwa nazo awali.


Wengi tunajikuta yltunaishi ndoto za watu wengine,mfano Familia/Baba&Mama wanakwambia soma masuala ya Fedha kwasababu Family Friend wenu mwanaye anafanya kazi Bank Kuu wakati Wewe hauna kipawa cha Uhasibu una Kipawa cha Uongozi au Mawasiliano.
 
Hawa ndio huwa wa kwanza kupiga kelele huko kwenye redio zao wakiwataka graduates wakalime nyanya
 
Huko chuo wanaenda kufanya ujanjaujanja tu.
Mtu form 4 ana 0 chuo anaendaje.
Na mimo ndio nilikuwa najiuliza. Kama form IV alipata D nne za kujiunga na vyuo vya kati hapo sawa.

Au hiyo bodi yenyewe ndio inaendeaha mafunzo na hawangalii vyeti vya form IV kwa wakongwe?

Kama wanatakiwa waende vyuo vya kati, wengi watakwama kwa sababu ya D nne za O'level. Ku-resit si mchezo, huko hakuna ubabaishaji
 
Back
Top Bottom