Zembwela yeye yuko wapi?Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
Elimu za utu uzima si hii ya kukariri unayoifahamu mkuu. Zinakuwa kwa mfumo wa training zaidi.Huko chuo wanaenda kufanya ujanjaujanja tu.
Mtu form 4 ana 0 chuo anaendaje.
Asante kwa kunieleweshaElimu za utu uzima si hii ya kukariri unayoifahamu mkuu. Zinakuwa kwa mfumo wa training zaidi.
Ni jambo jema. Ila nashangaa miaka yote kumbe ni kanjanja? Nimeumia sana kwa kweli.Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
Hawa wassenge ndiyo walikuwa wakiwakejeli vijana wanaohitimu vyuo kuwa hawana maarifa ya kutafuta maisha.
Kumbe hata certificate ni ya kuungaunga.
Kama elimu Haina umuhimu kwanini ana haha kuokoteza vyeti?kuhitimu chuo haimaanishi kuwa ndio umeshakuwa bora, huyo jamaa atanunua tu vyeti na ataruei ulingoni
Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
Ana mashabiki na yeye??Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
Kama elimu Haina umuhimu kwanini ana haha kuokoteza vyeti?
kitu pekee ambacho usiporithi hakikisha mwanao anarithi(ELIMU)Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
Sio Kila anayesoma lazima afaulu. Mtaani unakuta watu Wana ku pump nenda shule je! Ubongo wa ku load material na kungamua maswali ya mtego kwenye mtihani upo? Tafiti wenye mdomo wa kuongea saaana mpe mtihani ndio uone vitukoAlidhani keshajipataš sasa akirudi atakuwa keshaelimika
Kabisa aiseee, just work around itPrinciple no. 1 If you cannot change the system, Work around it.
Hauwezi jua kama alirisiti KakaHuko chuo wanaenda kufanya ujanjaujanja tu.
Mtu form 4 ana 0 chuo anaendaje.
Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
Noo shida siyo shule,shida uko tunaenda kusoma nini kulingana na vipawa vyetu.Saikolojia unasema wazi kila Mtu ana Potential yake shida ni namna gani tunazigundua,kuziendeleza na kuzitumia.Leo hii asilimia kubwa ya Watu tunaokutana nao Maofisini,Utaftaji hawafanyii kazi Ambition zao walizokuwa nazo awali.Sio Kila anayesoma lazima afaulu. Mtaani unakuta watu Wana ku pump nenda shule je! Ubongo wa ku load material na kungamua maswali ya mtego kwenye mtihani upo? Tafiti wenye mdomo wa kuongea saaana mpe mtihani ndio uone vituko
Na mimo ndio nilikuwa najiuliza. Kama form IV alipata D nne za kujiunga na vyuo vya kati hapo sawa.Huko chuo wanaenda kufanya ujanjaujanja tu.
Mtu form 4 ana 0 chuo anaendaje.