The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,584
Mkuu are you serious?Na mimo ndio nilikuwa najiuliza. Kama form IV alipata D nne za kujiunga na vyuo vya kati hapo sawa.
Au hiyo bodi yenyewe ndio inaendeaha mafunzo na hawangalii vyeti vya form IV kwa wakongwe?
Kama wanatakiwa waende vyuo vya kati, wengi watakwama kwa sababu ya D nne za O'level. Ku-resit si mchezo, huko hakuna ubabaishaji
Kwa nini?Mkuu are you serious?
Kuna njia ya vyuo kupitia certificates..!!!Huko chuo wanaenda kufanya ujanjaujanja tu.
Mtu form 4 ana 0 chuo anaendaje.
Kumbe naye aliingilia taaluma kiaina..!!Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.