Kitila Mkumbo: Bunge liwaoneshe Mlango wa Kutokea wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG

Kitila Mkumbo: Bunge liwaoneshe Mlango wa Kutokea wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG

Huu uzi ukiusoma kwa umakini mkubwa wachawi utawaona tu
Roho zinawauma wenzao wanapotekeleza majukumu yao
Wanapolipwa stahiki zao kwa majibu wa sheria taratibu na kanuni za nchi hii hii
Bunge la wizi haliwezi kuhoji wizi!!
 
Kwa ubora gani wa hizi barabara zetu? hizi barabara nyembamba ambazo mnapishana na mafuso, ma semi usiku mzima - hawa hawa madareva ambao wanalala anahamia upande wa pili.

Jiandaeni kuchoga majeneza na rambirambi kwa wafiwa.
 
Huyu betty anahamu ya kunywa damu za watanzania pumbafu kabisa!
 
Abiria wengi wanapenda kusafiri usiku kuliko mchana, na usafiri ulikuwa hivyo miaka yote hadi Mrema alipopiga marufuku akiwa waziri wa Mambo ya ndani, zamani magari yote yalikuwa yanaanza safari saa kumi na mbili jioni, utaratibu ule naunga mkono ulejeshwe
 
Kwa ubora gani wa hizi barabara zetu? hizi barabara nyembamba ambazo mnapishana na mafuso, ma semi usiku mzima - hawa hawa madareva ambao wanalala anahamia upande wa pili.

Jiandaeni kuchoga majeneza na rambirambi kwa wafiwa.
Basi polisi waje na takwimu, ni wakati gani kulikuwa na ajali zaidi za mabasi, wakati yanasafiri usiku au mchana, takwimu halisi, sio maoni
 
Nakumbuka mzee wangu ilikua kila siku asubuhi lazima aweke tbc aangalie bunge lakini sahv anakwambia bora aangalie dadaz ya EATV
 
Huyu ataonyeshwa mlango wa kutokea lini?
 
Nilipenda sana kufuatilia bunge wakati wa spika SS na hata kipindi cha msekwa. Angalau kulikuwa na hoja za maana. Lakini sasa hivi kuanzia wabunge na mawaziri hakuna mwenye hoja za maana.

Speaker sasa, mmmmh!
Na wale 19 hawana hoja?
 
Huu uzi ukiusoma kwa umakini mkubwa wachawi utawaona tu
Roho zinawauma wenzao wanapotekeleza majukumu yao
Wanapolipwa stahiki zao kwa majibu wa sheria taratibu na kanuni za nchi hii hii
Nimekuelewa.
Basi waendelee kulipwa tu maana ni utaratibu.
 
Kuliko kuangalia hili bunge bora nkakae bar nicheki wadada wenye makalio makubwa huku nashushia biya...
 
Sidhani kama alimaliza kwa sehemu yake alipaswa kuwajibisha wote waliotajwa alitakiwa awa fundishe adabu ili ikawe funzo kwa wengine, sio kuwafokea na kuwaita stupid haisaidii kitu bado
 
Nilipenda sana kufuatilia bunge wakati wa spika SS na hata kipindi cha msekwa. Angalau kulikuwa na hoja za maana. Lakini sasa hivi kuanzia wabunge na mawaziri hakuna mwenye hoja za maana.

Speaker sasa, mmmmh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kauli ya spika dr. Tulia Ackson akiongea bungeni kuwa ni muhimu serikali iliangalie kwa uzito suala la magari ya abilia (mabasi) yanapozuiwa kila ikifika saa 6 ya usiku.

IMG_7639 Tulia Ackson.jpeg

Amesema kwa kuuliza kuna sababu zipi za kupelekea hilo?.

Ameongeza kuwa, madereva wanao endesha hayo magari ndiyo haohao wanao waendesha waheshimiwa hivyo hawana tofauti, hivyo kama kuna eneo kuna mapungufu serikali iyafanyie kazi.

Vilevile kama ni barabara kwa sasa zina usalama na miundombinu ni mizuri kuliko miaka ya nyuma, basi watu waruhusiwe kupita huo muda.
 
Magari ya abria yaruhusiwe kutembea usiku kucha ila malori yasiruhusiwe. Hakuna sababu ya mabasi kuanza safari saa kumi na mbili asubuhi, mabasi yawe na ratiba zao, dar unaweza kuanza safari hata saa moja usiku na alfajiri unafika mikoani kisha unatoka mikoani mchana dar unafiki usiku. Malori hapana kusafiri usiku yapaki pembeni jua likizama
 
Wenye mabasi wamekuwa wabahili wa kuajiri madereva 2 kusaidiana ila sio wote

Unakuta dereva kapindua Gari halafu police wanasema limekata break Mara alitaka ku overtake ila sababu nyingi za ajali ni mchoko huku wengine wakinywa pombe na wengine mirungi kutoa usingizi

Ila kwenye mchoko hata uwe nani lazima ulale tu

Sasa wakiruhusu usiku ndio kabisa wengine hawajawahi kupima macho maisha yao yote

Devil Advocate mpo
 
Magari ya abria yaruhusiwe kutembea usiku kucha ila malori yasiruhusiwe. Hakuna sababu ya mabasi kuanza safari saa kumi na mbili asubuhi, mabasi yawe na ratiba zao, dara unaweza kuanza safari hata saa moja usiku na alfajiri unafika mikoani kisha unatoka mikoani mchana dar unafiki usiku. Malori hapana kusafiri usiku yapaki pembeni jua likizama
Mkuu naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom