Kitila Mkumbo: Bunge liwaoneshe Mlango wa Kutokea wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG

Kitila Mkumbo: Bunge liwaoneshe Mlango wa Kutokea wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG

1 .Kama mchana ajali zinakuwa lukuki usiku je?
2. Lingine ni suala la usalama,kuna uwezekano mkubwa kuibuka kwa utekaji mabasi
 
1 .Kama mchana ajali zinakuwa lukuki usiku je?
2. Lingine ni suala la usalama,kuna uwezekano mkubwa kuibuka kwa utekaji mabasi
Una hoja ila tuangalie kwa muktadha wa alichosema spika!.

kama kuna sehemu kuna mapungufu serikali iyafanyie kazi, hilo ulilosema ndiyo mapungufu yenyewe hayo.

Why wenzetu Kenya wanatembea usiku na kila eneo fulani kuna check point, why sisi?.
 
Ukweli barabara zetu bado haziruhusu kukimbizana usiku wa manane. Hii milori hawachelewi kuyavaa nyuma kwa nyuma. Maana mengi yanafia popote. Ukifumba jicho tuu ghafla ili hap
 
Una hoja ila tuangalie kwa muktadha wa alichosema spika!.

kama kuna sehemu kuna mapungufu serikali iyafanyie kazi, hilo ulilosema ndiyo mapungufu yenyewe hayo.

Why wenzetu Kenya wanatembea usiku na kila eneo fulani kuna check point, why sisi?.
Huenda wamedhibiti ujangili
Lakini kuhusu ajali je wao wana ajali nyingi kama sisi?
Maana sisi haipiti siku kadhaa tunasikia vifo tena watu wanakufa haswa na ajali zetu sio za kawaida

Pia zinahitajika sign post nyingi kila sehemu
Kuna barabara unakuta sharp bend na hakuna hata kibao sasa kwa dereva ambae sio mzoefu na hapo lazima apate ajali
Kweli tahadhari ipo lakini Alama lazima ziwepo kila sehemu
 
Kweli serikali isikie tukisafiri usiku hata kula kimaskhara inakuwa rahisi sana
 
Mmovements of goods itakua slow sana ukizuia malori kutembea usiku
Magari ya abria yaruhusiwe kutembea usiku kucha ila malori yasiruhusiwe. Hakuna sababu ya mabasi kuanza safari saa kumi na mbili asubuhi, mabasi yawe na ratiba zao, dar unaweza kuanza safari hata saa moja usiku na alfajiri unafika mikoani kisha unatoka mikoani mchana dar unafiki usiku. Malori hapana kusafiri usiku yapaki pembeni jua likizama
 
Mabasi ya route ndefu huwa yana madereva zaidi ya mmoja ambao huwa wanapokezana. Japo still ni risk lakini inawezekana.
Ukifuatilia sana utagundua kuwa Matajiri wengi hawaajiri madereva Wawili kwenye basi Moja hata kama ni safari ya mbali.
Wengi anampa Dereva mmoja na Dereva huyo kutokana na hali ya maisha inabidi amtafute Day worker wake Mwenyewe ambaye Hana kazi lakini ana leseni ili tu akikamatwa na LATRA aonekane ana madereva Wawili.

Kama wanazuiliwa usiku lakini Bado wanakosa umakini Sasa itakuaje wakiruhusiwa kuendesha mabasi usiku kucha.

Safari za usiku tuachie Treni Kwa Sasa.
Vinginevyo . Mabasi ya usiku yawe ni usiku na mchana yawe ni mchana TU.
 
Back
Top Bottom