Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hoja ila tuangalie kwa muktadha wa alichosema spika!.1 .Kama mchana ajali zinakuwa lukuki usiku je?
2. Lingine ni suala la usalama,kuna uwezekano mkubwa kuibuka kwa utekaji mabasi
Huenda wamedhibiti ujangiliUna hoja ila tuangalie kwa muktadha wa alichosema spika!.
kama kuna sehemu kuna mapungufu serikali iyafanyie kazi, hilo ulilosema ndiyo mapungufu yenyewe hayo.
Why wenzetu Kenya wanatembea usiku na kila eneo fulani kuna check point, why sisi?.
Magari ya abria yaruhusiwe kutembea usiku kucha ila malori yasiruhusiwe. Hakuna sababu ya mabasi kuanza safari saa kumi na mbili asubuhi, mabasi yawe na ratiba zao, dar unaweza kuanza safari hata saa moja usiku na alfajiri unafika mikoani kisha unatoka mikoani mchana dar unafiki usiku. Malori hapana kusafiri usiku yapaki pembeni jua likizama
Ukifuatilia sana utagundua kuwa Matajiri wengi hawaajiri madereva Wawili kwenye basi Moja hata kama ni safari ya mbali.Mabasi ya route ndefu huwa yana madereva zaidi ya mmoja ambao huwa wanapokezana. Japo still ni risk lakini inawezekana.